sylvia bahame ndo alikuwa miss tz 2003. atakumbukwa kuwa ndiye miss tz aliyesahaulika haraka kutokana na ukimya wake na kutopenda kujichanganya kwenye shughuli za kijamii kama walivyo kina hoyce na wengineo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Anonymous mpooo! sie wenzenu tunakamua tu kwa sababu haya mambo hadharani tulishayazoea kitambo kazi kwenu, ila michuzi naona kama post zimepungua sana baada ya mambo kuwa hadharani na hata mitusi nayo imeisha maana kama huyu dada hapa angeshapewa kashfa kama tani nzima

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    Nakubaliana na KIGERERA kuwa haya mambo ya u-MISS bwana unaibua watu, na pia kama mtu anayekuwa amelala maskini na kuamka tajiri. Na kama inavyojulikana bwana wale waandaaji na majaji wana tabia chafu ambayo ni lazima walale na kinadada hao, laa sivyo taji hupati.
    Lakini mimi bwana nikiwa na mtoto wa kike sitomshauri kuingia mambo ya u-MISS maana nitamwambia binti yangu "wee ni mzuri tu huna haja ya kwenda kuparade ili uonyeshe kuwa wewe ni mzuri.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2006

    Sasa mnaona kuwa BULOGU HII YA MICHUZI sio ZUGA na ni ya maana sana kwa jamii yetu maana bwana insomwa na ulimwengu mzima. Hapa bwana hata watu wasiojua sifa mbaya za mtu maana anajificha kinyemela kama SHOSE SINARE huwa wanabainika bwana. Maana watu wanaulizia C.V ya mtu kama sasa unaona katokea mtu ambaye anamjua huyu dada SYLVIA BAHAME amejitokeza kutupa vijisifa ambavyo watu wengine hawajui, na kama kawaida hawamkandii tu mtu hapa. Kama mnavyoona muungwana kasema kuwa ni dada MLEVI sana wa kijiweni na anapiga BANGI vilevile LAKINI SI MALAYA. sifa za kutiwatiwa hana. sio kama SHOSE SINARE NA EMILY ADOLF. NASISITIZA HII BULOGU NI NZURI SANA. ASANTE SANA BWANA MICHUZI. UBARIKIWE.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2006

    Sawa kabisa bi Gladys hapo juu. ni kweli Michuzi ameleta maendeleo, watu wanaotaka kupata wanawake wa kudumu na kuwapenda hata kuamua kuishi nao au kuchukua jumla waingie humu kwenye mtandao wa kimataifa wasome kama wakina dada hao wana sifa nzuri au wana sifa chafu. Ona kama mimi sikufahamu na natumaini wananchi wengi hawakujua vimwana kama Sinare na Adolf wanasifa chafu. hasa yule sinare kumbe kanajifanya kujichimbia ndio zake kutombwatombwa kinyemela ndio zake, watu wengi wamemla mjini, akawa anawambia rafiki zake kuwa anapenda zaidi wazungu, lakini naona pia wamemshinda. Asante Mr. Michuzi kwa mtandao huu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2006

    Kweli huyu Bahame yeye ni kupiga tungi tu kwa sana na kuvuta, lakini si malaya wa kutoa toa uchi ovyo. maana watu wengi walimtaka namjua muhaya mmoja anaitwa clay ishengoma alikuwa anamtaka sana, alikuwa anafukuzia ile mbaya lakini hakupata chini, wabongo wanaume malaya sana hasa huyu clay ana mke lakini bado kufukuzia sketi nje ndio mwenyewe, hivi kwanini watu wa namna hii wanaamua kuoa? si wakae tu kinyemela kuliko kuwapotezea dada zetu muda wao? shenzi type.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2006

    mimi huyu msicha ninampenda na ni msichana mzuri sana kwa maoni yangu hivyo tabia yake ya ulevi haimsumbui mtu yeyote. sio muhuni sio mbeya hana wakati na mambo ya mtu yoyote sio mshenzi na kila mtu anakasoro zake kwa kweli hivyo basi na tabia zake mbaya.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2006

    Hivi kwani kuvuta bangi ni tabia mbaya? Peter Tosh alikuwa ni mtu mwenye tabia nzuri kama mtume na alikuwa anavuta bangi na hakumsumbua mtu. Acheni kasumba wanandugu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 14, 2006

    Ni haki kabisa muache kumwandama huyu dada maana kama alivyosema mwananchi mmoja hapo juu kuwa kila binadamu huwa anatabia fulani ambayo katika jamii inaonekana ni mbaya, lakini kwa desturi zetu za kiafrika wa kinadada ambao ni MALAYA au WANASIFA ZA KUTIWATIWA tu hata kichinichini kama SHOSE SINARE na EMILY ADOLF hizi ndio sifa CHAFU sana. Kama huyu SILVIA BAHAME anapenda kupiga TUNGI na BANGI mwacheni jamani mbona kati ya wazazi wetu ni walevi na watu kibao hata maselebreti wanavuta ganja (bangi) kikubwa ni kwamba HANA sifa ya KUTIWATIWA. anajiheshimu si kama wengine walioibuliwa hapa. Huyo CLAY ISHEMGOMA si ni mshamba fulani alizani angeweza kumpata Bahame kweli, anaota ndoto ya mchana, lakini heri yake aliona ajaribu tu. Wee Clay ligi yako ni mabaa maid na wasichana loko kama ROZI. Pole.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 14, 2006

    Anoy 8:37 naombe unielimeshe..mbona nilisikiaga Shose Sinare aliolewa na Muitaliano hata na Emly Adolf pia nilisikia kaolewa na mzungu!?au vipi nimepitwa basi..

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 24, 2009

    sylvia anafanyakazi gani na wapi/ kwa anaeju, plz

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 24, 2009

    nilisikia yu marekani, sijui kwa sasa

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 24, 2009

    ningalipo Dada huyu na anaumri gani? kwa anaejua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...