neto, machel, mwalimu na kk lusaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi huu kweli sio ule mkutano wa mwisho wa Samora Machel 1986?

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli sijui kama Samora alisema atajiuzuru na kuwafuata Renamo msituni, ninachojua ni kwamba Samora na wafadhili wa RENAMO (South Africa) walifikia makubaliano ya kusimamisha vita na Samora akatia saini. Muda mfupi baada ya hapo ndiyo akaja hapo tunapomuona kwenye picha, kumbe walikuwa tayari wameshampangia mpango. Kwenye kiungo hicho hapo chini mnaweza kupata picha kamili jinsi ilivyokuwa.

    http://www.contrast.org/truth/html/samora_machel.html

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2006

    Jamani taratibu eeh, kama huo ndio mkutano wa mwisho wa Samora, Augustino Neto inakuwaje awepo hapo? Au ndio Michuzi kasahau. Neo kafa miaka kibao kabla ya kifo cha Machel sasa kusema alikaa meza moja na hao Vingunge miaka ya '86 ni kudisitoti historia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2006

    Mungu wabariki wanaafrika hawa wakweli waliokwenda kuzimu

    ReplyDelete
  5. Wadau, huyo wa kwanza ni José Eduardo dos Santos mrithi wa Agostino Neto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...