humu ndimo baraza la wawakilishi zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inatakiwa Serikali zote mbili (Muungano na Zanzibar) ziweze kuliangalia hili swala na kuweka fungu la pesa ktk budget za hapo baadae ili ndugu zetu hawa nao wajengewe sehemu ya maana na nzuri.

    Maendeleo yawezwe kuwekwa 50-50 kote yaani Tanzania Bara na Tanzania Visiwani (Zanzibar) na hii isiwe ktk ofisi za serikali tu bali mpaka ktk huduma za kijamii.

    Nashukuru,
    Copyright 2006 MK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...