enyi wa ughaibuni, chonde njooni mtukengee maholi ya starehe huku. tunaumbuka na daimondi yetu hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kuna lile hall la Land Mark, lina muundo kama wa Diamond lakini lenyewe dogo kidogo kama sikosei, ila lenyewe lina hewa ya kutosha sana, na jukwaa kubwa liko juu zaidi kwa hiyo watazamaji mnaona matukio vizuri zaidi, tatizo lake ni mwangwi (echo)kwa kweli ukienda pale kuangalia live band kinachokuweka ni upenzi tu lakini kiuhalisia sauti ya vyombo inakuwa mbaya kiaina, mi nigeshauri wahusika waliwekee ceiling board ambayo itasidia kuzuia mwangwi wa sauti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...