kuna mdau kaomba kumuona mama mingoi akimwaga twanga pepeta. naomba kuwakilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyu huwa hachezi bali huwa anajitingisha tingisha kiaina flani hivi, lakini huwa anafunika sana huwa hakosi leaders kwenye bonanza,wana camp yao inaitwa Nyiriti Camp, ikishambulia jukwaa lazima ukumbi mzima msimame, wanaenda(ga) mbele kutunza mwisho wanatunzwa na wao kwa jinsi wanavyoipatia miondoko ya twanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...