enzi hizo nguza viking na hayati fred supreme ndala kasheba walikuwa wakitumbuiza pamoja pale bwalo la polisi ostabei, na mambo yalikuwa moto moto, hasa ukichanganya sauti ya kasongo clayton mpinga (shoto) ambaye ndiye mtunzi na mwimbaji wa kwanza wa wimbo wa 'seya' orijino

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nakumbuka nilikuwa siwakosi kwenye klabu moja pale Sinza nimeisahau jina. Kila mwisho wa wiki nakwenda kushika kitambaa cheupe. Ndala achana naye kabisa. Vile vidole vyake vilikuwa vimechanjiwa gitaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...