hapa tupo chalinze ndani ndani wakati wa mafuriko miaka kadhaa ilopita wakati jk akiwa mbunge na waziri alitembelea kuona wapiga kura wake
nasi tulikwenda kumpa tafu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. basi hapo kikwete kama hajui kuogelea anakuwa mdogo utafikiri sio waziri, anamwangalia Michuzi sababu alimwahidi kumwokoa iwapo mtumbwi utabinuka

    ReplyDelete
  2. Eti michuzi mtumbwi ukibinuka hapo utamuokoa Kikwete au Camera yako?

    ReplyDelete
  3. hahaha!

    we rhxoqsa (duh! yatamkwaje hii?) na trio kaka acheni uchizi. we unajuaje kama hata mie pia jiwe? hapo ngoma ikipiga pindingu hakuna cha jk wala kamera. mie mwenyewe je?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...