huyu ndiye juma ikangaa bingwa wa mbio za nyika ambaye kwa sasa ni afisa jeshini anaeshughulikia michezo na wachezaji. samahani nimeogopa kutaja cheo kwani nimekisahau, ila wale ambao hawaku-jong jkt watansaidia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ndugu Michuzi, mimi nafahamu huyo bwana ni Luteni Kanali.

    Kwa sasa sijapata habari zake zaidi kama amepandishwa cheo au kushushwa ila ndio nafahamu hilo.

    Nashukuru,
    Copyright 2006 MK

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2006

    Je afande hapa juu anaweza kusaidia kuwaibua wenye silaha ambazo hatujui wamepataje, kihalali au laa! tena ni vijana wadogo tu wenye bastola, na wengine ni watoto wenye majina makubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...