
wakurugenzi wa kitangoma wakiwa na waziri mdogo wa kazi, maendeleo ya vijana na michezo mudhihir m. mudhihir (kati) kwenye siku ya uzinduzi wa jarida hilo la muziki katika mgahawa wa hard rock ndani ya bilikanaz. toka kushoto baada yangu ni mansab jnr, masudi kipanya, juhyna ajmy, ruge mutahaba na justin kusaga
musee nimeona kazi yenu ina tisha, mara hii mpo hewani!! kweli tekenolojia ina tisha. Ongereni wote.
ReplyDelete