nani anataka lifti ya pugu-kariakoo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hapo umechemka michuzi na lazima traffic akukamate maana barabara zetu ni right hand drive na wewe umekaa upande wa kushoto, hamia kulia halafu ndio tuanze safari yetu

    ReplyDelete
  2. rhxsoqsa nakuvulia kofia kwa ushapu. yaani ile naweka tu ushatia timu? duh! halafu u nchi gani wewe, naona kama jina la uswazi ama sauzi. na je latamkwaje?

    ReplyDelete
  3. kwa sasa niko hapa duniani na hili jina linatoka sayari ya Sumbura, jamani breaking news sasa hivi jengo la kitega uchumi hapa dar linawaka moto

    ReplyDelete
  4. Michuzi,

    Wewe uko kila mahala kwenye kila fani! Naomba lifti basi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...