wasichana wataoshiriki miss ilala 2006 wakila pozi baada ya tizi bilikanaz leo. wanapanda jukwaa ni kuchuana juni 30 pale holi la karimjee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kwa hapa siwaoni vizuri ila wewe umewaonaje wametulia? siku hiyo lazima niwe ndani ya nyumba si unajua karimjee kwa mguu tu nafika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...