hapa ni club 84 dom jumatano naiti ambayo ni lediz frii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2006

    Naona hao machangudoa wamekosa wateja, kwani wabunge wameshastukia ngoma.

    ReplyDelete
  2. Ratio ni wanawake 10 kwa mwanamme 1, bunge hili nasikia machangu wamekosa soko kabisa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2006

    Ndio vizuri maana wameacha wake zao nyumbani kazi kwenda kufanya mambo yasiyo na maana, upepo ulio waingia mwaka huu uzidi kukaa nao kwani itapunguza maambukizi std...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2006

    mmmmm ni juzi tu walilalamika kumbi chache dom za starehe sijui hapo walikuwa hawajafika? Au michuzi aliwatawanya kwanza kabla hajapiga?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2006

    Mbona wengine wana makoti kwenye disco?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2006

    ladies free doesnot mean wanaume watupu guys!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2006

    mhh mbona hii kali ladies free halafu hamna hata wanaume ama kweli hii kali wamebaki wanawake peke yao tehetehe !!!

    ReplyDelete
  8. samahani,hivi kila mwanamke ni changudoa ama?ama inawauma kuona wanawake nao wanajirusha sometimes sio kukaa jikoni masaa 24? tuwe wastaarabu,heshima kitu cha bure,unavyowatukana hawa wanamama,wenzio wanakutukania mama,dada,shangazi yako etc,kama ufanyavyo wewe..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...