hapa ni ofisi za kitangoma. shoto ni ahmad michuzi, dogo ninayemuachia mikoba ya masnepu na ambaye ndiye mhariri wa kitangoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2006

    Kumbe mambo yana run in the Michuzi family. Nice !

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2006

    daa poa sana Mr Michuzi ,muendeleze kijana kumpa ujuzi zaidi, nawe miaka ijayo waweza kuacha kumbukumbu nyingi kupitia kwake..Keeep it up bro

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...