sehemu za kiwalani, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2006

    mwanangu weee kumbe mambo ndivyo yalivyo maeneo duuh.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2006

    Mzee Magufuli kazi unayo!Hivi viwanja vilipimwa kweli?Na nani?!Vibali vya kujenga walipewa na nani?!Kuna umuhimu wa wahusika kuangukiwa na panga la papo kwa papo!Haya tena wana ari mpya,kasi mpya,nguvu mpya!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2006

    Hapo kunahitwa kiwalani kwa gude. Kwa waliohishi ugaibuni miaka mingi kama poisson kwa taharifa yako.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2006

    jamani kwa utaratibu huu si ndio huku wanakoroma huku wanatema makohozi wakati huyu anakoroga michicha. tutapona kweli.....

    na tnajidai wenyewe na mjiwetu

    ReplyDelete
  5. yaani hapa ndio home, hii nyumba ya katikati yenye bati lenye kutu ndio maskani

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2006

    Afadhali kidogo hata hii view unaona kuna mabati mapya kidogo, na njia, sio full vichochoro, kulikoni view ya mwanzo ya Zanzibar! Puuuh!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2006

    kwani hii kiwalani na ile picha ya zenji mbona sioni tofauti?lakini ya zenji midomo ilichongwa?
    haya sasa bara hiyo

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 26, 2006

    anony si unajua watu wanapenda kujifagilia tu? Hila kuna unafuu kidogo. angalau barabara zinaonekana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...