Home
Unlabelled
nancy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mazoezi muhimu mwanangu kamua kamua....
ReplyDeleteDemu anakwato balaa, hata tennis shoes havai....hii kali. But you still look cute ma, unavaa size gani nikufadhili dada.
ReplyDeleteTobaa! Hiyo net ndio inashikwa hivyo? Angalia mpaka unajikuta unaonekana kama unajikamua, badala ya kuonekana kama kitendo unachofanya babe Nancy eh!
ReplyDeleteOk labda ilikuwa just for show.
kuna kitu kinaitwa tennis shoes mama. hata hapa bongo ziapatikana usiharibu miguu bure au kama ili kuwa ni show off basi endelea ku enjoy
ReplyDeletemnaiga halafu mwaongeza chumvi juu yake ulisikia lini tennis ikachezwa bila viatu.Angalieni msije pasuka msamba
ReplyDeleteWee mtoto wa SUMARI mbona unatoa kali na ni aibu. Toba Yaillahi tangu lini umeambiwa tennis inachezwa mpekuo????Aaaaaah! sasa bwana unatuangusha, Na hiyo net haishikwi hivyo, ndio maana unaonekana ngangari, utatoa mavi. Haya kama alivyosema Michuzi kwenye picha yake ambayo kapiga na simba -Iga Ufe- ndio hayoooooooooooooo. Ahaaaaaa kabla sijasahau leteni story jamani hivi yule Joseph Kahama hajamtia huyu dada bado????? Maana nilisikia alikuwa anakula rada na kupania kumtaka huyu mtoto wa Sumari. Ni mtu ambaye ameoa lakini kwa ngono za nje weeeeeeeeee moto wa kuotea mbali. Na wanasaidiana na dada yake ku-cheat.
ReplyDeleteMaskini nancy hajawahi kucheza tennisi sijui wamemlazimisha?
ReplyDeletewatu jamani hamna dogo labda tu alikuwa anajaribu,mbona mnakuwa na mind za namna hio acheni chuki.
ReplyDeletenyie mnaojifanya kumtetea tokeni bwana hapa. KWENYE HII BULOGU watu huwa wanamwaga ukweli tu, sio kumkopesha na kumfagilia mtu bila sababu ya maana. hapo bwana Nancy KATOA KALI, NA CHOO VILE VILE. ukweli ndio huu, angalia na vimiguu hivyo. Aaaaah.
ReplyDeleteHii ni blog bwana kama tutafagilia tu hata haina maana ya kuja kuangalia ni pamoja na kukosoa anaweza kupata mwaliko nchi za watu akafanya hivi, hivyo akisoma au wewe kama ni rafiki yake ukienda mueleze, siyo lazima aende shule ajue tenniss inachezwaje ni pamoja na kusoma maoni tu hapa anapata exprience.
ReplyDeleteWewe kama unataka tumfagilie basi sema anajua kishenzi kucheza tenniss. Halafu uwe wimbo nasi tutafuata, lakini lazima tuseme tunachokiona.
Mwaka jana aliumia kucha wakati anacheza soka pekupeku, naona hajakoma.
ReplyDeleteNI KWELI KABISA HIZI HABARI ZA ANONY HAPA JUU, ALIJIFANYA KUCHEZA SOKA MPEKUO KUCHA FEKI IKATOKA NA KUMUUMIZA, (ANAWEKA ZILE KUCHA FEKI ACRYLIC) SASA HAPA TENISS TENA MPEKUO, HAJAKOMA BADO HUYU. HATUKUSEMI VIBAYA DADA ILA TUNASEMA UKWELI, UJIFUNZE. TENA HII TENNISS UKIFUATA MAONI YA WAZALENDO HUMU KWENYE BULOGU, UNAPATA ZOEZI ZURI TU FUATA INSTRUCTIONS ZILIZOTOLEWA JINSI YA KUKAMATILIA HIYO NET NA KADHALIKA.
ReplyDeleteHumu ndani kuna mijitu inajifanya inajua sana kumbe hamna kitu! Mnamkosoa Nancy wakati yaelekea hata nyie wenyewe hiyo tennis mnafanya kuisikia tu! Hebu niwaulize mliokosoa ushikaji wake wa kitu mnaita "NET". Mnajua mnachoongea? Au mlikuwa mnamaanisha "racket"? Hayoo... Yaoneni kwanza...Hovyo!
ReplyDeleteat least blaza umeweza gundua kidogo maanake hata mimi nilishindwa kuelewa hiyo net ni kitu gani, samahani lakini inaitwa racquet, racket kwa kiingereza ni mambo mengine kabisa, chonde kaka, wasije Anti Corruption wakamuibukia binti wa watu!!
ReplyDeletejamani huyu binti inaonekana alikuwa ana cheza cheza tu ndio maana hana hata viatu, sio kama yuko wimbledon au nini, ni mambo ya ufukweni hayo kama vile vile watu wanavyocheza volleyball baharini, hana sifa mbaya basi hata viatu inajengwa hoja, tutafika kweli???
Iitwe net, racket, racquet, rocket, pocket,.......amechemsha!
ReplyDeletejamani huyu aliamua tu kujifurahisha na si kwamba anacheza tennis.
ReplyDelete