Home
Unlabelled
nyerere
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani wanablog huu uwanja mara tuu baada ya kujengwa na wafaransa kama sikosei kampuni ya Bouygues ulikuwa bomba sana AC,vyoo visafi,TV screens,utaratibu mzuri nk lakini tangu tukabidhiwe wazalendo mambo mengi yameporomoka!Nimekuwa nikipitapita hapo na kuhuzunishwa na hali halisi.Maswali meneja anafanya kazi gani?aiport tax wanapeleka wapi?wabongo tuna matatizo gani?Mapya niliyoona mwaka huu ni uhamiaji kuwa na scanners kutokana na paspoti mpya pamoja parking ya kulipia pale nje.Matitizo sugu ni Ac na luggage carriers ambazo zimefanywa mradi eti unasukumiwa na kutoa chochote!Duniani kote msafiri anatumia bure maana iko kwenye aiport tax!Jamani bongo aibu tupu!
ReplyDeleteYaah government need to think quick about the place...
ReplyDeleteSio ndio hayo hayo tunasema watanzania tuko nyuma sana kielimu na kimanagement! Kuajiliwa kwa jina! CV za leaders utachekea chooni! Kuna sehemu nyingine zitaifishwe tu! Sababu kwa ubishi wetu mpaka rasilimali zina sink! Toka tulivyoachiwa na wakoloni ndio basi tena! Walioifaidi real Dar City na TZ ni watu wa miaka 10 baada ya ukoloni. Badala ya hapo........!
ReplyDeleteTunawatukana mpaka leo na kuwashutumu wakoloni! Je ni % ngapi hapa Africa wanawish kwenda kwa wakoloni kutawaliwa leo hii? Hellooo!
Sidhani kama tatizo ni CV's, au elimu; nadhani tatizo ni uaminifu, ukweli na uwajibikaji.
ReplyDeleteWarioba ana CV moja nzuri tuu, lakini sidhani kama utendaji wake wa kazi una-"reflect" CV yake.
Mkapa amekiri kuwa alichemsha katika mikataba, jee kuna mtu yeyote anayefikiria kumuwajibisha? Kama aliingia mikataba kwa faida yake na hasara ya wananchi sasa kwanini asiwajibishwe?.
hili ndio tatizo la kuwapa watu kazi wasikuwa na uzoefu au utaalam nazo.
ReplyDeleteili mradi tu mtu ana degree au whatever award basi tena ataajiriwa popote pale.
jamani hebu tuige wenzetu maana wao wanaajiri mtu mwenye utaala na hasa kama ni nafasi nyeti kama utawala na vitu kama hivyo.....
hivyo inabidi government iangalie vizuri hili swala vinginevyo hata vikijengwa viwanja vipya, au kuletwa vifaa vibya kama hakuna muongozaji anaefaa tutaendelea kulalamika miaka nenda rudi
msiwe na wasiwasi kuna mradi mwingine wa kujenga airport nyingine ya kimataifa bwagamoyo itakayocost shillingi bilioni 50, helllooo!
ReplyDeleteNakubariana na maoni ya ndugu wote hapa. ira naomba kuongeza kuwa nimefurahishwa sana kitendo cha serikali kuipa jina ra J.K NYERERE hapo wamefanya ra maana maana he was a great man.
ReplyDeletekwa kweli nakubaliana na kigerera kwanini huo uwanja uliooza ndio tuupe jina la mwalimu nyerere...au tumeona aibu kuendelea kuita wa kimataifa kutokana na kutokuwa na viwango.
ReplyDeleteWooo,kumbe hii ndo international airport ya bongo ? mimi nilidhani ni stesheni ya treni ya kigoma
ReplyDeleteKigerera, asante kwa maoni, ni kweri kabisa nakubariana na wewe, na I hope wahusika wanasoma maoni haya iri wafanye ukarabati kidogo wa hii Airport hasa kwa jina warioipa, ifanane na heshima zote, maana hiki kiwanja hakistahiri kuitwa International Airport, niritemberea chooni pare ni vya hari ya chini sana. naona pesa zinazopatikana wakubwa ni urabu tu.
ReplyDelete