Home
Unlabelled
shopingi nzito
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
U r damn right Michuzi! Yupo kwenye G8 leo hii Russia!
ReplyDeletedaaaaaaaah jamani ziff....jamani zenji...jamani urojo forodhani...jamaniiiiii!!
ReplyDeleteTri Kaka nakuunga mkono, unajua hawa watu hata kama wataamua kutembea kwa miguu kutoka Bagamoyo mpaka Ujiji wanajambo lao linaloendana na neo-colonialism. Hapo Manzese eti kaenda kukagua visima! fikiria mradi wa visima nyakati zetu hivi tena Manzese ndani ya JIJI. Kama ulivyosema tuanze kufikiria mapinduzi ya fikira yatakayotupeleka kwenye mapinduzi ya kiuchumi, vinginevyo tutakuwa tunawashangilia watu wanaokuja kufany shopping zao na kuingia nchini kirahisi bila kulipa chochote eti katumwa na WB!Viva chifu Mkwawa, viva Mulungushi Club!
ReplyDelete