Home
Unlabelled
iga ufe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hey Michuzi , Very nice photo man!
ReplyDeleteBongo yetu tunaambiwa hakuna matako!
Mmmh anonymous 1 kwanza umenistua kidogo, nadhani ni katka harakati za kutype..natumai utakuwa umemaanisha matata...
ReplyDeletevery nice picture...
Bwana Michuzi. Hapo umetoka tiki 100% sasa naomba unielimishe HAPO NI WAPI?
ReplyDeletehapo ni dar
ReplyDeleteaaaah Bwana Michuzi,
ReplyDeleteMtu mzima hatishiwi nyau wa kuchora.....
Nadhani hapo ni ndani ya ikulu Dar-es-salaam.
ReplyDeleteYeah hapo ni IKULU pale mlango mkuu wa kuingilia ndani ya jengo.
ReplyDeleteHapo ni segerea, gerezani. Hapo ni nje ya kuingilia mlango wa kwenda kwenye selo za VIP.
ReplyDeleteHuyo simba smile yake na wewe Michuzi vimekosana kidoga tu! Sana sana smile yake iko kama huyo Kinje wenu huko! Very nice smile!
ReplyDeleteWe trio umeanza ugombanishi sasa! Mbona kama huyo mtu alikuwa anajoke tu jamani?
ReplyDeleteTrio kaka mimi naungana na wewe 100% kuna watu wanpenda kusikia mbaya tuu hata kwenye misiba ya mama zao wanatapika mbaya sijui ni kwa nini tunapungukiwa na jamii ya watu waungwana yaani usipotukana mtu unaona kama umepewa nyanya chungu ,Bw Michuzi anatupatia news sisi tulio mbali na nyumbani sasa kuna watu mnavisasi na kazi zake basi mfwate kwenye majukwaa hukohuko bongo mkatukanane uzuri bahaaaaaaaa
ReplyDeleteAsanta Emergency poison. Huyo ndio anafanya Michuzi aelewe vibaya! I think so too ni mtani wake ukifuatilia alivyoandika. Lakini marefa kaka!
ReplyDelete