rais wa benki ya dunia paul wolfowitz akifanya shopingi zenji jana. alikuwa bongo kwa ziara ya siku nne na leo nasikia yuko urusi kwenye mkutano wa g8.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2006

    U r damn right Michuzi! Yupo kwenye G8 leo hii Russia!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2006

    daaaaaaaah jamani ziff....jamani zenji...jamani urojo forodhani...jamaniiiiii!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2006

    Tri Kaka nakuunga mkono, unajua hawa watu hata kama wataamua kutembea kwa miguu kutoka Bagamoyo mpaka Ujiji wanajambo lao linaloendana na neo-colonialism. Hapo Manzese eti kaenda kukagua visima! fikiria mradi wa visima nyakati zetu hivi tena Manzese ndani ya JIJI. Kama ulivyosema tuanze kufikiria mapinduzi ya fikira yatakayotupeleka kwenye mapinduzi ya kiuchumi, vinginevyo tutakuwa tunawashangilia watu wanaokuja kufany shopping zao na kuingia nchini kirahisi bila kulipa chochote eti katumwa na WB!Viva chifu Mkwawa, viva Mulungushi Club!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...