Home
Unlabelled
chupi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nice work...
ReplyDeletehahaaah rangi kama za brazil flag da
ReplyDeleteLoo mwanaume anaevaa michupi hii hata havutii mirangi mikali mikali utazani kavaa shanga,mwanaume avae chupi white au grey au cream au nyeusi.
ReplyDeleteUkiachana na hilo! Ingekuwa bora na rangi za bendera ya Tanzania. Ukiangalia wasanii wa nchi jirani kama Kenya jinsi wanavyoirusha bendera yao katika mavazi na kadhalika, wabongo lini wataamka. BADO WAMELALA!!!!!!!!!!!
ReplyDeletesasa jamani, mnataka bendera hadi kwenye chupi!?
ReplyDeleteNa we unayemind rangi gani mwanaume kavaa, who cares. Ataiona nani unless mwanamke uko naye mnajivinjari. And if that is the case, atakuona jinsi ulivyo rijali... so it won't matter ni chupi rangi gani umevaa!!
...except maybe pink or purple.. that would be pushing it now hehe
Mikanda minene mno. Lazima wanaovaa wanapungukiwa nguvu za kiume na shahawa load.
ReplyDelete