Home
Unlabelled
masta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WAZIRI WA AFYA HUKO WAPI?wenzetu wahamasisha watu wao waache UVUTAJI WA SIGARA pamoja na huduma nzuri za afya walizonazo,sisi na huu UMASIKINI,tunaTESA KWA KUHAMASISHA UVUTAJI WA SIGARA,IT IS VERY FUN.
ReplyDeleteAnayevuta kapenda mwenye wala msiogope kuingia kikamilifu kwenye soko la athali za mapafu na kansa...ofisi za hii FILTER zipo wapi michuzi? its ME
ReplyDeleteAnony 1:30
ReplyDeleteFanya utafiti kidogo.
Ni asilimia ngapi ya wamarekani wanavuta sigara na ni asilimia ngapi ya wabongo wanavuta sigara.
Tatuta idadi ya watu walioathirika na sigara kwenye hizo nchi mbili.
Nadhani wizara husika imefanya inachotakiwa kufanya kuhakikisha kuwa sigara zote zimekewa warning kwa mtumiaji kwa hiyo itakuwa ni jukumu la mtumiaji.
Nchi kama uholanzi wao wanaruhusu hata matumizi ya bangi watu wengine wanasema bangi haina madhara ila kwa vitendo vya timu yao ya taifa iliyoonyesha world cup nadhani bangi ina madhara makubwa sana.
Wakati Serikali nyingi za nje ya nchi zikipanga mikakati mikali ktk kuweza kupinga uvutaji wa sigara, Sisi Serikali yetu inatoa vibali na leseni kwa makampuni mapya kila siku kutengeneza Sigara zitakazo rudisha nyuma na kumaliza nguvu kazi ktk uchumi wa Taifa.
ReplyDeleteNi lazima tukubali ya kwamba sigara ni mbaya sana kwa mwanadamu na ni chanzo kikubwa cha Cancer na Magonjwa ya Moyo ambapo mchanganyiko wa nicotine na carbon monoxide uliopo ktk Sigara ufanya kuongeza mapigo ya moyo na blood pressure ambapo mwisho wake ni heart attacks and strokes sasa kama hili lingeweza kuangaliwa kwa undani na Serikali nyingi za Ki-Africa basi ingewapunguzia gharama ktk kutibu wananchi wake au kupotezewa na idadi kubwa muhimu ya watu ambao wangetumika ktk kuongeza uchumi wa mataifa yao kwa kufanya kazi, Leo hii Serikali nyingi za Ki-Africa wao ufumba macho ingawa wanaelewa yote haya na wao wanacho jali ni kuweza kupata kodi (Revenues)na kupokea rushwa toka kwa makampuni yanayotengeneza hizo Sigara ili yapewe leseni kwa haraka.
Kuonesha ya kwamba Serikali nyingi za Mataifa yaliyo endelea wapo Serious wameweza ata kupinga Kuonesha uvutaji wa Sigara ktk cartoon za Tom and Jerry, The Flintstones and Scooby-Doo maana wao wana amini ya kwamba elimu kwa mwananchi uanza tangu akiwa mdogo sasa wanachofanya ni kumfundisha mtoto akiwa mdogo ya kwamba Uvutaji wa Sigara una madhara kwa Afya zetu kwa ujumla.
Zifuatazo ni Video zinazo lenga kufundisha watu kuacha kuvuta Sigara na ni nzuri sana kwa mafundisho:
1: Anthony Hicks Smoking Ad, 2: Smoking Ad1, 3: Smoking News, 4: Passive Smoking Ad1 - Scotland, 5: Smoking effects - Video
Mwisho, Kama wewe ni mvuta Sigara na una Watoto, Mke, Mume, Baba, Mama, Kaka, Dada, ndugu na Jamaa ambao una wapenda na hautaki waweze kuteseka kutokana na kifo chako kitachotakana na uvutaji wako wa Sigara, Nina kuomba uweze kuacha kuvuta Sigara Sasa maana ni mbaya kwa Afya yako. Pia ni vizuri kutoa habari hii na kuwafundisha watoto, ndugu, jamaa na marafiki kabla atuja wapoteza.
Nashukuru,
Copyright © 2006 MK
Sigara mbaya blah blah, ninyi nyote mnaohubiri kukomesha uvutaji wa sigara mbona hatuwasikii mkianza na wakulima wa tumbaku? Kama tumbaku inazalishwa na ni moja ya mazao makuu yanayochangia GNP mnategemeaje sigara zisitengenezwe? Bravo serikali yetu kunyamazia makampuni ya sigara maana utakuwa ni unafiki mkubwa kupigia kelele utengenezaji wa sigara wakati upande wa pili inahamasisha ukulima wa tumbaku kiasi cha kutoa ruzuku kwenye mbolea
ReplyDeleteWewe fala kaa kimya, jamaa katoa pointi kwa wabongo wote wewe waja kutoa pumba. Kama unataka kufa peke yako endelea kuvuta sigara ila hatutaki idadi kibao ya wabongo kufa kwa ujinga wa viongozi wenu. Kama unakubali watu wafe na kansa au magonjwa ya moyo basi utakubali watu wafe na ngoma (Ukimwi). Akili zako Pumba, Kama ungekuwa na akili za kiongozi basi usingekubali wananchi wako kufa kwa sababu za kodi ya muda mfupi ambapo hao raia wako wangetumika kuongeza uchumi wa taifa lako kwa muda mrefu. Bila raia utamtawala nani na wakifa au kuwa na magonjwa nani atafanya kazi katika taifa lako. Umepata pointi? Siku nyingine funga domo lako sawa?
ReplyDeleteWewe anony wa Aug 24, 3:55pm wacha kukurupuka. Wewe ni mmoja wa watu wanaojisemea mambo kutaka sifa bila kuyafanyia tafakuri ya kina. Utawezaje kuzuia uvutaji wa sigara wakati unahamasisha ulimaji wa tumbaku? Hivi wewe mjinga ukulima wa tumbaku ukikomeshwa kutakuwa na haja ya kutunga sheria za kuzuia uvutaji sigara? Huwezi kuanza kutatua tatizo bila kuanzia kwenye kiini fala wewe. Na kabla ya kuzuia ukulima wa tumbaku umeshatafuta zao mbadala kwa hao wakulima wa tumbaku wasije kufa njaa au kugeuka majambazi? Wewe mjinga acha kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu
ReplyDeleteBado hauja ongea la maana, Kuna kilimo cha Bangi mbona kimesimamishwa? Ni serikali inatakiwa kutamka na watu watafuata. Ni akili kama zako ambazo viongozi wa kibongo wanazo, Kama Serikali ina Uwezo wa kufanya hivyo na watu kuacha kulima basi wanao uwezo ata hicho kilimo unacho sema. Kama kazi zipo nyingi tu ata ukisema ktk kilimo basi kuna kila aina ya mazao au Biashara. Unataka kusema hao watu wapo duniani kwa kilimo hicho tu? Ni ujanja wako tu maisha yanapatika kila kona kama ukiamua kuwa jambazi ni akili zako mbovu tu. Hacha kuleta sababu zisizo kuwa na mpango, Watu kama nyie ndio Viongozi wa Afrika mnao shindwa kutoa uamuzi kutokana na sababu kibao zisizo kuwa na misingi na kuacha raia wenu wakiteseka au kupoteza maisha. Sigara ina ua na wao wanapata Faida kibao ya pesa.
ReplyDeleteThamini raia, ndugu na Mwili wako ama sivyo kifo ni chako.
We kweli fala, mfano gani huo wa bangi unatoa hapa? Ni lini bangi iliwakuwa zao halali? Ati thamini mwili wako ama sivyo kifo ni chako, Maelfu ya watoto wanaokufa kwa malaria ni kwa sababu wamevuta sigara? Watanzania wanayo mengi yakuwasumbua kwa sasa, Ukimwi, Malaria, kipindupindu, utapiamlo, kuhara, huduma mbovu kwa mama wajawazito n.k lakini siyo sigara. Wewe jamaa ni mjinga kweli na hapa nafunga kesi.
ReplyDeleteHaoni ya kwamba kama ukizuia suhala la Sigara utakuwa umepunguza idadi ya vifo na maradhi kwa watanzania. Tanzania ni nchi masikini kama ukiweza kupunguza vifo na maradhi basi ndio utakuwa umeongeza idadi ya watu walio kuwa na afya ambao watatumika ktk kuongeza hali ya uchumi wa nchi.
ReplyDeleteNdio kuna maradhi mengi na ktk kuweza kuondoa maradhi hayo yote ni bora kuondoa yale yasiyo ya lazima ambayo wananchi na Viongozi wetu wana yaleta katika nchi hii. Lakini Usitake kutuambia ya kwamba eti kisa kuna maradhi mengine tuachane na vyanzo ambavyo vina leta maradhi na vifo utakuwa umepungukiwa na akila pamoja na fikira.
Usiwe mjinga na kutokuwa na akili katika kusema kwamba eti Serikalia ikae kimya na kufungua haya yote, Kama ukitaka kufa endelea kuvuta Sigara au endelea kufundisha ukoo wako waendelee kuvuta sigara lakini sio idadi kubwa ya watanzania ambao tuna wategemea ktk kuliweka taifa hili ktk mstari wa mbele katika maendeleo na maswala ya kiuchumi.
Thamini maisha yako, Sigara ina ua.