mnara wa mvumbuzi wa mlima kilimanjaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ameuvumbua vipi wakati mlima ulikuwepo????? Kwani alikuja nao kutoka kwao ama aliukuta hapo, hebu wasituletee.

    ReplyDelete
  2. Michuzi embu usizue soo mvumbuzi!!kibango kinasema ni mzungu wa kwanza kuukwaa mlima tena sio mtu wa kwanza maana nadhani akina mangi ndio watu wa kwanza huko!!

    ReplyDelete
  3. Bado nashangaa wazungu walishindwa kuupa jina la Mzungu mmoja Mlima huu kama walivyofanya Lake Victoria nk.Ingawa inasemekana walikuwa wanapeana zawadi Mlima huu

    ReplyDelete
  4. The sign says that he was the FIRST EUROPEAN EXPLORER to conquer the mountain. Naona ni sawa alikuwa mzungu wa kwanza kupanda. Maana nina uhakika wakina mangi wengi tu walikuwa wanapanda hata kabla wazungu hawajaja na kupeana zawadi. Mara mfalme huyo hana mlima hivyo zawadi kwake sasa iko Tanganyika! Mara bethdei ya hiyo iko Kenya, mara vita mara nini....wazungu bwana!

    ReplyDelete
  5. Huu ni upuuzi wa Wazungu...how can one vumbua something that already existed!!? It doesn't even make any sense!! In fact, ingebidi hata Ziwa Victoria tulipe jina kama vile Ziwa Kambarage hivi....

    ReplyDelete
  6. Ziwa Victoria linaitwa ziwa Nyanza kwa upande wa Tanzania. Tupo watanzania wachache tunaoliita kwa jina Nyanza.

    ReplyDelete
  7. JAMANI KIINGEREZA NI TATIZO DUH! tukipende tuu kiswahili lugha yetu kwani hiki kimnara kimeandikwa mtu aliyevumbua au kimeandikwa raia wa kwanza kutoka ulaya kuupanda mrima wetu mlimbwende?...Me

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...