mshambuliaji gaudence mwaikimba wa yanga akipiga bao la pili na la ushindi dhidi ya polisi ya uganda kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa pili wa taska chalenji kapu leo jioni. yanga ilishinda 2-1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi, hapo wanacheza kutafuta mshindi wa TATU. Mshindi wa kwanza na wa pili watapatikana kati ya Simba na Kagera.

    ReplyDelete
  2. asante sana bwana michuzi kwa kusikiliza maoni ya walio wengi na kwa sasa kuanza kutuwekea picha za socer kama hivi. tunategemea kuona mavituzi zaidi

    ReplyDelete
  3. Muhidin tatizo lako ni ushabiki, nimefuatilia blog hii kwa muda mrefu na nikagundua siku Yanga ikicheza na ikauona mwezi, break ya kwanza ukitoka neshno stedium ni kwenye mtandao kupost picha za yanga. Iweje fainali leo umekauka kama vile hujui kinachoendelea?"

    ReplyDelete
  4. sasa jamani si blog yake nauhuru wake. Na kama ni shabiki wa Yanga mwache aturushe bwana!!!
    Yanga oyeeeee hehhe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...