ukumbi wa nkrumah holi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. aaaahhh huyu Howard ni mmoja wa wale wale wa kila siku wa kutaka kurekebisha Michuzi akiandika Ukumbi wa .. Hall; Barabara ya .. Road; n.k.
    Michuzi anajua hiyo na kafanya makusudi na wote tunajua humu ndani. Kiingereza chako cha kusoma british council kinakuwasha eh na unajiona we mwalimu.

    Hiki sicho chombo rasmi cha habari ..ni blogu tu. Na Micguzi anafanya hivi kwa burudani yake na yetu sisi watembelea blogu hii.

    ReplyDelete
  2. nini wewe.. states illegal immigrants kibao wanapata kazi kiingereza wanajua salamu tu. Kuwa na kazi sio hoja

    ReplyDelete
  3. hahaha... kama umefura Pasuka basi Howard.

    Halafu usije ukamuua bure huyo Kwame wa Marekani sijui. Sio yeye aliyepost hii kitu.. this is another Kwame.

    Ila nishakuambia ukweli mwanzo.. kiingereza chako cha Brittish council kisikufanye umkosoe Michuzi. Kama unajua sana kuandika fungua blog yako basi

    ReplyDelete
  4. Wewe Howard sijui Coward kaa pembeni na kujifanya kwako mwalimu. Alichokwambia Kwame ndio ukweli wenyewe. Kama unataka lugha rasmi soma uhuru, mzalendo daily news USA today, New York Sun na mengineyo.

    ReplyDelete
  5. Hii ndio shida ya kukodolea vitabu peke yake saa nyingine tujinyanganye na watu, MKUU HOWARD, unachemsha kaka, maisha siyo vitabu peke yake. Hapa tunaburudika, siyo vitani au mashindano ya STATUS.

    ReplyDelete
  6. Nikikuita mjinga nakupendelea, wewe HOWARD ni pumbavu sana. yaani unaweza ukawa mwafrika ukaona HOWARD ni jina bora au ni lamaana,kuliko KWAME, MANDElA, KENYATTA, SEKKO TOURE, NYERERE,SAMORA, LUMUMBA wezee wengi waliokuwa na UCHUNGU na africa waliwapa watoto wao haya majina wewe MBWA UNASEMAJE? sikutegemea kusikia KAULI KAMA HII KUTOKA KWA MWAFRIKA HALAFU MSOMI,kama wewe ni MUUNGWANA TUOMBE RADHI. ni mimi JULIUS MANENO, Brussels,Belgium.

    ReplyDelete
  7. Uliandika ongera kwa kuwa na jina la kighana wakati wewe ni mnyamwezi ulileta kejeli, ujui umuhimu wa jina kwame? lipi ni bora kati ya howard au kwame? we ni MCHEMKAJI.

    ReplyDelete
  8. duh! Watu hawaelewi.....Keep on jammin' Michuzi...Big Up!

    ReplyDelete
  9. hahaha huyu Howard kweli mjinga. Yaani anamcheka mwenzake mnyamwezi ana jina la Kwame... ye mbongo ana jina la Howard!!

    Huu kweli ndio upumbavu

    ReplyDelete
  10. yaani hilo lihoward ni lifala kabisaaa,tena mimi naweza sema lawezekana ni senge,uhakika wa hili ni hayo mabishano yake tu.Toka zako huku mambo ya blog mageni kwako nenda kabanduliwe huko fala mkubwa wewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...