Home
Unlabelled
pilipili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya hivi ndio mnaona kuna usawa katika nchi yetu? Huko bungeni wanawafiria nini watu kama hawa sana sana watoto?
ReplyDeleteKuna mijitu mingine itasema eti lakini wako happy tu, ndio asili yetu, bla, bla, bla,....! Mnafikiri hawa watoto hawatafurahia kuwa na maisha kama ya watoto wenzao atleast? Je mnajua dream yao ni nini na itakuwaje in the future yao?
Wao wanabelieve asili yetu ni hivi hivi na tutaendelea hivi hivi vizazi na vizazi. Kumbe sivyo Bunge linakula tu!
Hakika chuo kama UD kilikuwa ni chimbuko la wasomi kweli kweli na heshima yake ilikuwa ni kubwa kitaifa na kimataifa.
ReplyDeleteJambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni wasomi wetu ukisikia wanashinikiza serikali ni kuhusu ongezeko la posho,baada ya hapo ni bongo fleva na kujirusha.
Nani alaumiwe? Nini kitatokea miaka kumi ijayo? Je na mtoto huyo anapata matatizo kama hayo?
sasa jamani posho wanayopewa waanchuo tukubali inabana. Watu hakuna hela ya kununua vitabu kabisa na vitabu ni gharama mno.
ReplyDeleteWakati wabunge kila kukiwa na kikao Dom wanapewa 40,000 kwa siku kwenda kulala.
Tunakubali kuwa TZ maskini, na kuna watu kama ndugu zangu hapo juu wanaenda Kimungumungu tu. Lakini sidhani kama wanachuo ni watu wa kuwalaumu kwa kudai posho zaidi. We all know wanaokula nchi kwa kweli ni nani