Home
Unlabelled
salenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mr michuzi naona turekebishane kidogo, unajua kingereza ni lugha ngeni. DARAJA LA SALENDER BRIDGE???? DARAJA LA SALENDER AMA SIYO? USICHUKIE TUNAREKEBISHANA.
ReplyDeleteHapo kwenye kona kama unaelekea mjini ukiwa unaendesha gari chunga sana (taa huwa ni mgogoro)trafic huwa wanajificha na kupiga mabao. Kama huna elufu kumi ujue utabakiza gari.
ReplyDeletewewe michuzi ni bingwa wa kidhungu hapo kaandikia waswanglish na ushamba wako soma nakala za michuzi inaonesha hupitii news zake wewe
ReplyDelete..Kwa faida ya Anonymous wa August 19,11:25PM, na wengineo, Daraja Hili linaitwa "SELANDER",sio "SALENDER" kama lilivyozoea kuitwa. Lilipewa jina hili kwa kumfunuku mwanadamu mwenzetu anayeitwa "JOHN SELANDER"(kuna kibango kimechomewa ubavuni mwa daraja la awali)..ila tuzungumzao kibantu tukazoe kutamka "Salenda"...kama tulivyoita "Deiwaka" kutoka "Day Worker".
ReplyDeletenashukuru anony wa hapo juu...nilikuwa nakuja kuweka hiyo correction ya SELANDER umeniwahi.
ReplyDeletehii ishu inanichekesha sana na inanikumbusha jamaa mmoja first time ughaibuni akaenda supermaket acha atafute blue band alihangaika sana mpaka kuja kujua hizo blue babd zina majina yake huku sio any siagi ni blue band,haha haha haha
ReplyDeleteSikuwepo duniani muda mrefu sana, mnakumbuka tarehe 8, Machi 2003 kuna ajali ya ajabu sana ilitokea hapo Selander Briji? Landcruiser (hard top wataalam wanaita)ilitumbukia katikati ya daraja na kilichobaki nje ni ile paa tu la gari lililong'oka na kuangukia barabarani. Sijui trafiki walisovu vipi ajali hiyo. Ilitokea mida ya saa nne usiku hivi.
ReplyDelete