Home
Unlabelled
sheraton
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yah hii menu kiboko nimeikubali baba ake Duh. Nipe ndizi nyama full!!!!!!!!!
ReplyDeleteHiyo menu chafu hivyo, na hiko chakula kitakuwaje?
ReplyDeleteduh ! kama mmestukia, angalieni katika neno "chai", wanaandika "chai cha kahawa", "chai cha maziwa"..duh hiyo kali
ReplyDeleteMenu Kali ninajiuliza tu ni kwanini wakaiita hoteli yao Sheraton
ReplyDeleteNi kweli MREKEBISHARIKA,hata watoto wa Dar wana matatizo katika kutofautisha 'l' na 'r' mfano 'gari' wanasema 'gali',hata europe kuna hilo tatizo,na wao wanaheshimu matamshi ya watu wa sehemu tofauti na kuyaita 'dialect'...
ReplyDeletenyie hamuoni kuwa hii picha imetoka mtabila kwa wakimbizi? hawa ni warundi! kiswahili bomba. ila 'chai cha kahawa' maana yake chai na kahawa vinawekwa pamoja? hii kali baba ake
ReplyDeletenahitaji wali nyama fuluuuuu!!!...na chai cha maziwa
ReplyDeletemazee hii lugha sii ya kitoto!