Home
Unlabelled
sip
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Muhidin, hapo umeniua kabisa. Unasema kiko karibu na SHELL ya BP? Mimi nilidhani SHELL ni tofauti na BP. Au vituo vyote vya mafuta ni SHELL?
ReplyDeletedu bwana michuzi wewe ushakuwa bwana unapanda ndege kila siku. haujui kutofautisha.BP NA SHELL MAKAMPUNI MAWILI TOFAUTI.AU NDIO MAMBO YA MTAA WA BIBI TITI STREET ALAFU UNYOSHE DIRECT MOJA KWA MOJA NA UKATE KUSHOTO KWENYE KIBAO CHA LEFT..NA UKIFIKA HAPO UNIDEEP KWENYE SIMU YANGU NDIO HAPO PALIPO NA CHICKEN PARTY YA MWANAISHA
ReplyDeleteAu kwenye daraja la sarender bridge,au eti mobitel yako inadola?,ila ndio hivyo wabongo gas station yoyote ni shell.
ReplyDeleteIt is sooooooooooooooo funny
ReplyDeletehahaha..mimi nacheki internenti kidogo..usisahau kuzima tv rimonti iko hapo pembeni
ReplyDeletewatu mmezibukaa!!! hizi za leo kali, LOL!!CD
ReplyDeletehizo ziko kila kona hata america mtu anakuuliza una sh ngapi!!? au twende tukanunue lamb kwa madai ni mbuzi.lol.
ReplyDeletehivi hizi tabia za kutembea unaonyesha simu hazijaisha?
ReplyDeletesasa aiweke wapi ndio maana ikaitwa simu ya mkononi,vitu vidogo hivyo mnatakiwa mzooe
ReplyDeleteni cellphone maana yake sio simu ya kushikilia mkononi anaweza kuweka mfukoni..funguo za nyumba ni ndogo kuliko hiyo simu basi angekuwa ameninginiza na funguo hapo basi..ni ulimbukeni uliojaa mjini dar.ndio maana wanaibiwa
ReplyDeletehivi watu mmeishiwa kweli. Unajua sio lazima ucomment kila siku. Ukikosa cha kusema nyamaza. Yaani mmezua mjadala kabisa, kisa michuzi kusema sheli ya BP.
ReplyDeleteMichuzi ni mwandishi na ameelimika na anajua tofauti ya vitu vyote na huwa anafanya makusudi kujifurahisha.
Hili sio kama gazeti rasmi ambalo zina sheria zake za uandishi na mtumizi ya lugha fasaha. Michuzi anafanya hivi kutufurahisha na kwa taarifa yenu kuna wengine tunoana burudani.
Either iwe kwa utani wa kusema bustani ya Mnazi Mmoja garden; au iwe kwa kutukumbushia enzi zile wakati uswahilini kila kituo cha mafuta kinaitwa sheli, kila dawa ya mswaki ni colgate, etc.
Kama uandishi wa michuzi unawaudhi msisome basi blog, sio lazima.
WEWE KAMA MKE WA MICHUZI KAJITIE KIDOLE ALIKOSEA HAPO..MICHUZI SI MBOLIBO TU NAE!
ReplyDelete