wapi hii?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Hapo ni Shaaban Robert

    ReplyDelete
  2. Ahh Michuzi umenikumbusha mbaali sana, nakumbuka Shaaban Robert, darasa langu lilikuwa la kwanza kulia, form 5 and 6 PCM, 1998-2000. Tennis na Volleyball court. Mbele pale ndio ilikuwa Assembly, namkumbua Headmaster, alikuwa anajifanya mzungu kishenzi na toyota corolla yake, anakaa nyuma kama bonge la VIP. Huku nyumba ilikuwa multi purpose hall. Bomba sana, Big time memory, big up Michuzi.
    Hivi zile talent and food evenings bado zipo?

    ReplyDelete
  3. Ahh Michuzi umenikumbusha mbaali sana, nakumbuka Shaaban Robert, darasa langu lilikuwa la kwanza kulia, form 5 and 6 PCM, 1998-2000. Tennis na Volleyball court. Mbele pale ndio ilikuwa Assembly, namkumbua Headmaster, alikuwa anajifanya mzungu kishenzi na toyota corolla yake, anakaa nyuma kama bonge la VIP. Huku nyumba ilikuwa multi purpose hall. Bomba sana, Big time memory, big up Michuzi.
    Hivi zile talent and food evenings bado zipo?

    ReplyDelete
  4. thats shaaban robert michuzi,was there form 1 to form 6, 1998 - 2004. Keep up the good work brother!!Respect CT

    ReplyDelete
  5. nakumbuka michuzi alikuja kupiga skuli picha enzi zile za yule mama headmaster

    ReplyDelete
  6. Ndiyo maana lugha chafu ni nyingi humu, kumbe utoto ndio unasumbua watu. Hata hivyo mkikua mtaacha

    ReplyDelete
  7. Jamani tumetoka mbali!michuzi wengine tulipita hapa zaidi ya miaka thelathini na ushee enzi hizoo za marehemu mama Koleth[mungu amuweke mahali pema peponi amina].nafurahi kuona shule bado ngangari

    ReplyDelete
  8. Sasa michuzi, pitisha picha ya Tambaza ukumbushe enzi..nilishanghaa kusikia shule ilikuja kufutwa O level. Je ilisaidia kupunguza hizo Fujo walizokuwa wanadai?

    ReplyDelete
  9. kumbe mitoto mayai ya shabaan robert ndiyo inajifanya kutukana humu.

    ReplyDelete
  10. Tuwekee picha ya wazumbe ndani ya mzumbe, usituwekee shule hizi za wapata ziro.

    ReplyDelete
  11. Yeah!
    Weka mambo ya MZUMBE sasa Shule ya vifaru.Nakumbuka walimu wangu-Mr.Kasase,Mr Mrisho,Mama Umba na wengineo.

    ReplyDelete
  12. Ahh shule ya mama Koleth hii,Mr Ndomondo,Mama Mgodo,& Mr Asenga the class of 1991, Hawa watu bado wako hai?

    ReplyDelete
  13. Sasa yote tisa wewe weka shule ya Iboru (Arusha...Vipanga wote wamepitia hapo! Hizo za watoto mayai wenye matusi ndani ya hii blogu achana nazo kwani hawaelewi ILANI hapo juu kuhusu matusi humu ndani

    ReplyDelete
  14. anony wa hapo juu, shule Mzumbe bwana. Namba 1 Tanzania kwa kidato cha 6 miaka 6 mfululizo sasa na pia kabla ya hapo miaka kitu kama miaka mi2 hivi mfululizo.

    Ilboru mlikuwa mnajitahidi ktk O'level ambayo sasa St. Francis na Marian ziliwapiku nako

    ReplyDelete
  15. Yahe, umerejesha kumbukumbu- Shule ya sekondari Shaaban Roberts - Ahsante !!!!!

    ReplyDelete
  16. Nasikia Shaaban Robert si tu watoto mayai ila pia ndio shule ambayo misenge mingi imesoma hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...