Home
Unlabelled
stokhomu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI WE KIBOKO!!!!!,umenichekesha sana, ukimuona yule SHULE NZURI msalimie sana, PROOVE sijui PROOF, mwambie tumeshapata, humu kuna KILA EXPERT, i can see your creativity, keep it up, MAY THE GOD BLESS U.
ReplyDeleteMsako usiende mbali mkuu, meya wa mjuu huo anaitwa Annika Billström na amekuwa madarakani tangia 2002.
ReplyDeletehttp://www.citymayors.com/mayors/stockholm_mayor.html
Teh teh teh! Michuzi unamtafuta meya sio, msalimie sana mwambie katuachia gumzo kwenye blog. Mimi binafsi namfagilia, huyo aliyeweka link hapo juu asante but no thanks:-) Big Up!!
ReplyDeletenafikiri anony wa 2, ndio yule yule wa "oohh Sweden hamna meya mwafrika... ogg shule nzuri" hehehe... watu wengine kichwa ngumu
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteAma kweli umekuwa World Traveller!
Keep it up!
Chemi
Huyo mama Billstr�m utaki prata nae vipi ki ksvenska? wewe semaba bra tu! Ukishamaliza unatia hejdo!
ReplyDeleteSalimia family mkwe na mtoto wa marahamu cool James.
yaani yule jamaa kaenda hadi kutafuta info za mayor wa kikweli kweli, duh kweli kuna watu wana UGWADU, kaka Kimjini MEYA ni mtu wa kujichanganya tu ambaye ukizuru maneo yake huwezi kumkosa ukiuliza watu wawili tu au hata mbuzi wanavyojisemea wenyewe maalwatani, usichukulie kizalendo hivyo!!
ReplyDeletemuacheni huyo anony wa 2 aliyecomment: Aug 23, 5:16PM.
ReplyDeleteHuyu jamaa alikurupuka akaenda kucomment utumbo kwenye post ya Aug 19 ambayo Michuzi alimuita Bw. Nyupi meya wa Stockholm.
Sasa watu wakamcheka na kumpaka kutokana na ushamba wake na uelewa wake mdogo wa kushindwa kubaini Michuzi alimaanisha nini.
Sasa anaona soo kukubali ukweli kuwa alichemka ndio maana anafanya hivi.. na nina uhakika post hii michuzi kamuwekea yeye makusudi na kusema NAMTAFUTA MEYA hahaha.