Home
Unlabelled
tanzanite
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi umenikumbusha wahanga wa tanzanite na wanaapolo wanavyoteseka huku wakiambulia "mapanki" na kuuawa. Juzi juzi nilikuwa naangalia luninga kwenye chanel moja yenye mtandao www.idealworld.tv walivyokuwa wakiuza tanzanite kama vile yao. Nilipata uchungu nikifikiria jinsi watu wanavyotafuna mapesa kwa kutumia jina na mawe yanayotoka nchini kwetu, pete ya kidoleni ilikuwa ikiuzwa kwa £299.00(nadhani zaidi ya TSHS.402,000 na zaidi)kipete chenyewe kinabeba kijiwe kidogo sana cha Tanzanite lakini chenye gharama kiasi hicho.Sasa jamani hata kama tunakatazwa kusema juu ya hilo, Serikali inakata ushuru wa kiasi gani maana hali za Wana Apolo zinazidi kuwa mbaya wakati wanaotajirika wapo mbali sana. Kuna umuhimu gani wa madini hayo kuuzwa na watu wengine na siyo serikali? ina maana tunashindwa kuwekeza kweli katika kitu ambacho thamani yake ni kubwa kiasi hicho! ina sikitisha sana, yote haya ni sawa na swala la mapanki ingawa hatutaki kulisema, mikataba yote ilikuwa kwa faida ya upande wa pili na siyo TZ ama wala mapanki.
ReplyDeletealiyesema kuwa ugumu wa maisha ni kipimo cha akili wala hakukosea!!!
ReplyDeletemovia ya Darwin nightmare ina ukweli fulani,sasa hapo si ni sawa tu na kula mapanki ambayo minofu yenyewe(yaani hayo madini)wameshachukua makaburuna kutajirika.
ReplyDelete