Home
Unlabelled
tsj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi TSJ ni hipi hii, kuna moja hipo sharif shamba na nyingine sijuhi hiko mikocheni. Kama ni hile ya Ilala bado watu wanacheza ngoma mule ndani na hile baa inayotazamana na geti bado hipo?
ReplyDeletemimi bwana michuzi napenda kukwambia kwamba kipindi kile watu walijua nini tofauti ya shule na chuo na kama nitakuwa sijakosea ni kwamba tsj was just a school.
ReplyDeletelakini leo hii ni chuo na watu wanavaa majoho ila kuna suala na hawa vidudu.
ndugu zangu mnaonisoma wa ulaya hebu nisaidieni. hivi watoto wa shule za vidudu,msingi na secondary wanavaa majoho kama wahitimu wa vyuo?
maana mimi naona ni kufedhehesha hii elimu kwa kweli. hizi nguo zina hadhi gani na kwamba twambieni nyie mliosoma maana sie wengine ndiyo tumemaliza form six na nilivaa joho picha nitamletea michuzi aiweke kama mtakubali.
SALAAM.
Joho si vazi kama vazi lolote unaweza ukala suti..kitu cha maana ni kufaulu hiyo mitihani na kupata point zako..si hivyo jamani?
ReplyDeleteUlaya ipi mnayoizungumzia watu wanavaa majoho? njoo Norway,Denmark, Finland na Sweden hakuna majoho kuna kofia nyeupe inavaliwa High School tu kinachofuatia hapo Bsc,BA, Msc na PHD ni mwendo wa suti za dukani tu.
ReplyDeleteJamani, sasa kwani lazima na sisi tufuate vitu vya ulaya tuu? kama tumeamua kuwavalisha vidudu majoho sasa hapo kosa liko wapi?
ReplyDeleteMichuzi 10 yrs ago umemaliza Journalism school! Today you're the Chief Journalist of Daily News? Kuna wapiga picha wangapi Daily News? Au ndio vyeo vya kupeana?
ReplyDeleteI meant Chief Photographer wa Daily News hapo juu!
ReplyDeletemuhimu ni kuchukua gamba lako.
ReplyDeletenilipokuwa mdogo baba yangu mdogo alikuwa anamaliza chuo Muhimbili na katika mahafali yake Mzee wangu alikuwa anatupa motisha na sisi tusome tuje kuvaa joho kama ba-mdogo. Sasa ningelivaa wakati niko vidudu nisingepata motivation ya kulipigani for the next 17 years.
ReplyDeletePS: Huyo anayedai Ulaya majoho yapo hadi sekondari pia specifiy ulaya gani.
nilivyouliza Ulaya gani nilimaanisha nchi zipi za Ulaya.
ReplyDeleteNa mi nimesoma Canada na nishaishi Ujerumani na sijaona hiyo kitu hapa, na sidhani kama Uingereza wanazo hizo. Sijui kuhu nchi nyingine za Ulaya.
I think US baadhi ya high schools wanafanya hivyo; sina uhakika.
PS: Trio Kaka... hiyo link ya article ya Wikipedia uliyoweka sijajua hasa ulikuwa unataka kutupa point gani? Maana umeweka link kisha unauliza nikuambia kama UK sio part ya Europe! Sielewi ulikuwa unataka ku-put through point gani hasa.
ReplyDeleteSoma comment yangu ya kwanza... niliuliza kuwa Ulaya gani wanayovaa majoho SEKONDARI. Sikusema kuwa Ulaya watu hawavai majoho period.
Hii article inaelezea historia ya academic gowns ilianza Uingereza kama vazi la mahafali ya chuo. Halijasema Uingereza wanavaa joho sekondari.
I've been in Uk for over 10 years went to high school and now in University the only time nimevaa joho ni wakati wa kugraduate first degree and soon to graduate in my second degree...mambo ya high school Majoho mostly ni USA and siku hizi tanzania. I personally feel to look forward to go to university and wear that gown is more motivating than wearing it in each grade that you finish which is what watanzania wanafanya siku hizi. So there is no that feeling of accomplishment(with the dressing apart from you grades ofcourse). The dressing was made to motivate people to get to a higher level so they can have the feeling of higher level of accomplishment!!It will be a nice feeling to wait till university for them to wear the gown and hat..there's more value to it than kila form ukimaliza wewe ni congratulation na joho...maybe they should just do a party to congratulate them rather than do the whole ceremony...
ReplyDeletemichuzi nimefurahi sana kumuona prof mmari and that was 1996 can i have his latest photo i admire the person.
ReplyDeleteNaona mnabishana kama wanawake malaya eti nani anatia vizuri cha msingi hapa ni system wether wanavaa majoho ama hawavai it doesn`t matter cha msingi ni akili yako mwenyewe kusoma na kumaliza kama wazazi wako walikuwa wanasoma ili wavae joho basi hao ni kama wanawake malaya tu unakwenda shule kusoma ili utoe ujinga na ikiwezekana kuwa na maisha mazuri na kuwa na upeo mzuri wa kuchanganua mambo. sasa hapa michuzi hakuvaa joho kuna tofauti gani kielimu na wale wanaomaliza the same school aliyosoma michuzi na waka vaa joho leo? kama hupendi shule hata ukioneshwa majoho 100 ni kazi bure. Acheni kupoteza muda kubishana majoho kama malaya.
ReplyDeletehaya Msami, angalia sasa baada ya siku 2, 3 za kuongea sense umerudia kule kule kwenye matusi kama mtoto. Hewala baba, sisi malaya na was*** kama ulivyotuita. Tunabishana kuhusu joho lisilo na maana, we mwenye maana na uliyeelimika ndio unatukana watu. Elimu gani sasa hiyo? Kwanza tueleze umesoma nini mbeba mabox wewe? Usije ukawa na Associate degree tu.. tena hapo na kupandisha. A mere diploma from a community college ukiwa umejitahidi sana mbuzi we.
ReplyDeleteWatu hatukatai kuwa cha muhimu zaidi ni grades ktk transcript yako; lakini kuna sababu convocation ceremonies ziliandaliwa, na kukawa na mavazi maalumu ya kuvaa siku hiyo. Inaonesha hitimisho la safari yako ndefu na kukupa pongezi na heshima kwa hatua uliyofikia. Hivyo juu ya yote uliyoacomplish ambayo proof yake itakuwepo kwenye transcript and your degree... pia sherehe za mahafali zina sehemu yake na umuhimu wake. Otherwise watu wangekuwa ukiamliza paper zako za mwisho kila mtu anatambaa tu.
kinacho nishangaza Peter mnatumia energy kubwa kubishana kuhusu majoho kama malaya wanavyogombania wanaume. Sioni sababu ya kuendelea kubishana kuna tofauti ya sherehe baada ya kumaliza na kuvaa majoho. kama usipo vaa joho na ukivaa kuna haja gani ya kubishana humu. Michuzi kaweka pic yake kasema yeye hawaa kuwa na utaratibu wa majoho lakini alimaliza shure kulikuwa na sherehe na is happy with that, sasa nyie kunguru sijui niwaite kelele kuliko yeye mwenyewe aliyo weka picha, ndiyo maana nawafananisha na malaya. Kwa taarifa yako mimi nasomea digrii yapili ya sheria.
ReplyDeletebora sisi tunabishania majoho. Nakuuliza, we uliyeelimika na usiye malaya huwa kazi yako si kujitangazia Bima na kuponda TZ ulikota kila siku. Au sio Alwatan wa Columbus?... isn't that what you talk about all day. We msomi gani unakuja na matusi; hata kama unataka kutoa point ya maana watu watakusikiliza; is that what you learn in law school down South ama?
ReplyDeleteIsitoshe, hoja yako ya mwhiso haina maana. Maana siku zote Michuzi akiweka picha huwa inakuwa kwa nia ya kukumbusha watu enzi hizo; kuwakeep updated na current events na pia kuchochea hoja toka kwa watembeleaji blog kutokana na caption zake za picha. Sasa we kama uliona hoja hii haukubaliani nayo au haina umuhimu, kama muungwana na msomi ungenyamaza, sio kuanza kudai kuwa "Michuzi kaweka pic yake kasema yeye hawaa kuwa na utaratibu wa majoho lakini alimaliza shure ..."
PS: Ni shule sio shure hehe. By the way, unasomea Juris Doctor yako chuo gani muungwana
Peter nipo devry university
ReplyDelete..wow!! I had no idea DeVry kuna law school. Toka lini mzee?
ReplyDeleteBy the way, unajua watu wanaosoma DeVry hapa canada huwa hawasemi
DeVry na kachuo ka ufundi na biashara 'kanatotangazaga' ktk basic cable stations late in the night after prime-time kutafuta wanafunzi.
ReplyDeleteHuwa watu waliokosa vyuo vya maana ndio wanaenda huko kusoma degree za miaka mi2. Sasa we unaisomea wapi hiyo digrii ya 2 ya sheria uliyoitaja mwanzo.. sir?
Peter unapoteza muda wako kubishana na kichaa Msami. Msami ana frastruation za ngoma mhurumie tu. Tayari ana ngoma tunaangalia tu utaratibu wa kumuongezea Gitaa afungue bendi. Anaona kupata digrii ni rahisi kama kubeba mabox. Nathoma digrii ya pili ya law pumbavu kweli, wenye degrii watakuwa kama msami.
ReplyDeletewabongo mna wivu yaani mnanimind kiasi hicho mbona nikirudi nitatomba mama zenu nisikie kama mtaongea mambo ya ngoma tena. peter kutangaza kwenye cable is part of business na kwa taarifa yako here in the united states ya can take your reqirements any recognized schooll as long as can be transfered to any law school I wonder ya are in canada and ya know the least. ya must have come from far interior part of bongo. Wake up dammy!!
ReplyDeletePETER,nimesoma karibu COMMENT zako nyingi naweza kuona ELIMU YAKO,NA UWEZO WAKO KUFIKIRI,bado tunakazi kubwa ya kuielimisha jamii yetu,TUSICHOKE TUTAFIKA,tunaoa wakina MSAMI wengi tu, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteMSAMI HUYU, MAMA YAKE SI YULE MAMA(JUDY) ALIYEIBA SANA ATC, MPAKA SHIRIKA LIKAFILISIKA. HALAFU MIMI NASHIUNDWA KUELEWA TANZANIA MLIFELI SHULE MKASHINDWA KUINGIA CHUO. SASA UGHAIBUNI MNATUMIA VYETI GANI KUINGILIA SHULE...Kwasababu kuna watu waliondoka Tanzania tangu 1996, leo ukiongea naye anakwambia hajamaliza degree bado. Sasa nyie shule mnasoma hiyo degree miaka mingapi au boksi tu. Muangalie migongo hiyo lakini
ReplyDeleteEeeh Bwana eeh!! kumbe siku zote nikiona Msami Msami nadhani labda ni mdogo wake PETER MASIKIO, kumbe ni Peter Mwenyewe??!! daamn, huyu jamaa yupo US kama miaka kumi hivi mimi nilidhani labda huyo atakuwa dogo wake ambaye labda kaja juzi juzi ndio maana limbukeni mjinga mjinga bado, hivyo, PETER kama ni wewe noma babu, you been here long enuff you should know better , wewe ni veterani huku mtoni halafu bado unajisifia nguo, Bima, mademu sijui, kwa u handsome gani PETER MASIKIO???!! mademu wale vibonge(makabati ya kizungu) wa CRAZY LOU???!! Taratibu Kaka, aise kama sio wewe samahani sana na mkanye huyo dogo maanake hata wewe anakuharibia.
ReplyDeleteOkay nimekupata ndugu yangu trio. My appologies kaka kwa kutoelewa, siku zote huwa naziappreciate point zako ofcourse.. unaongeaga vya maana. Nothing personal toka kwangu either.. ni majadiliano na kubadilishana mawazo na vimdahalo vya hapa na pale.
ReplyDeleteWananoniudhi ni wale wenye matusi tu na kejeli kwa wenzao.
All the best na endelea kublog kaka yangu!!
kwa ndugu yangu Msami:
ReplyDeleteUnajua huwa sipendi kulumbana au kuumbuana wabongo wenyewe kwa wenyewe. Ila kwa dharau zako, kejeli na matusi yasiyo na mpangilio kama watoto umetuchosha na unatuchafulia blog hapa.
Sasa ngoja niwaambie watu wasioiju DeVry University wajue ukihiyo wako.. maana post yako ya mwisho unataka kuwadanganya.
Kutangaza ktk cable unayodai ni part ya biashara. lakini ushaona vyu vya maana vinaweka vitangazo vyao ktk cable, au Instition za kipuuzi kama hizo zako ambazo kila mtu anaingia. Tena matangazo yenyewe ni kwamba hawana hela ndio maana hata wanashindwa kuyarusha wakati wa prime time. Utayaona usikuuu.. au asubuhi, maana ni muda wa bei rahisi kutangaza.
Na pili ulipoanza kuongelea kutransfer credit ndio umeharibu kabisa na kujionyesha usivyojua.
Unafikiri credits zinahamishwa tu kiholela? Chuo chochote kile kwanza kina limit ya transfer credits ngapi mtu unaruhusiwa kuwa nazo; na zikizidi sana ni huwa ni nusu ya credits jumla zinazotakiwa.
Isitoshe elimu ya sheria ni 1 yenye requirements nyingi sana kimasomo; kuna shria chungu mbovu inabidi uzicram. Sasa utakuta hata electives (kozi za ziada) mtu unaruhusiwa kuwa nazo chache mno. Hivyo we micourse yako uchwara ya ufundi comp na book-keeping (maana hata sio accounts mnayosema DeVry) utazitransfer kwenda ktk chuo gani; acha kutuongopea bwana.
Tatu,kama we una nia ya kwenda kusoma law baadae; all good brother. Lakini usitangaze sasa hivi kwamba tayari unasoma law (tena ukadai digri ya 2 haha) - wakati uko bado DeVry. Ni sawa na mtoto wa form 1 Bongo aseme mi nasoma Eng. Mlimani kwa kuwa ana nia ya kwenda huko siku 1.
Na hapa watu walivyokuanika kuwa Bongo kumbe mlifeli, na sasa hapo kama ndio unasoma undergrads bado ukachagua DeVry... basi huingii law school hata moja; labda nayo iwe ya mkobani.
Hahah unajua nilicheka sana nilivyoona jibu lako la kuwa uko DeVry... huku watu hawasemi - ni chuo cha wachovu wanachukua kila mtu; wanafanya biashara tu. watu waliokosa option kabisa ya kusoma chuo chochote cha maana wanaenda huko ili mradi aseme ana karatasi naye.
Hivi, umefanya hata LSAT? Au hata huzijui ni nini? Sijui law school gani hiyo utakayopata maana nakuona kwa uchangiaji wako wa mawazo humu ndani, LSAT utaweka rekodi ya maksi ndogo kuliko zote alizowahi kupata mtu ktk historia.
Usiongopee watu na kuweka utaalamu mwingi wa oohh.. kuhamisha credits, sijui nini.
sio siri nimependa sana comments zako kaka peter inaelekea wewe ni msomo kikwelikweli maana huyo Msami anayesema anasoma law tena degree ananishangaza sana, maana maoni yake hayaendani kbs na mtu mwenye elimu. maoni yke ni kama mvuta bangi ambaye hafikirii kitu anachoandika.halafu khs shule watu wanasoma miaka 10 hawamalizi ni kweli kbs huku USA kuna wabongo wako miaka mingi bado wanasoma degree ya kwanza hadi unajiuliza ni degree gani wanasoma maana mi nipo hapa nasoma masters mwaka wa mwisho maana huku ni miaka 2 lkn rafiki zangu wa tz ambao tulimaliza nao form six na wengine walinitangulia hadi leo hata hiyo degree ya kwanza hawajamaliza wkt huku ni miaka 4 halafu wengi wao ndo kila siku wanatransfer vyuo mbalimbali ili waweze kuwa na status ya uanafunzi, sasa ukukutana nao ndo hao kila siku wanakandia Tanzania unafikiri hawakuishi huku.
ReplyDeletenaongezea tu majoho kwa ulaya nchi kama The Netherlands hawavai kabisaaa hadi PHD huko tena baadhi tu university wanapiga suti tu nimegraduate swafi na most walikuja kama wanaenda party tu . Muhimuni cheti vazi ni kuiga kwa tz hawajui kuidefine hadi vidudu that is too much !!!
ReplyDeleteKwa kiingereza cha Msami, hiyo degree ya Law, mmmhh.....Muulizeni Pre Law amesoma wapi kama anajibu:-) Maneno yake tu yanaonyesha upstairs ni kutupu....
ReplyDeleteHila kwa kuangalia kidogo msami anaweza kuwa more educated than most of us na inawezekana anajua mambo mengi sana. alichojaribu kutukumbusha ni kwamba hakuna uhusiano kati ya kuvaa joho na elimu iliyopatikana.
ReplyDeleteHata bongo mtoto wa primary/vidudu kuvaa joho kunamanisha furaha aliyo nayo wakati anamaliza ungwe aliyokuwa anapambana nayo kwa hiyo anaonyesha utofauti kidogo na alivyo kuwa.
Vile vile michuzi kwa kutovaa joho pale juu mimi nafikiri kidogo unakuwa hutoi utamanisho kwa watu ambao hawajaweza kufikia kufikia kiwango hicho waweze pia kufikiria kupata kitu alichokipata.
Wewe howard acha kuwa mpumbavu, uingereza shule ni pound 7000 degree na masters inaenda mpaka elfu nane... Asilimia tisini ya watanzania uingereza wanajilipia wenyewe na wanamudu wenyewe. Nyie kazi kuvaa pamba na kulewa...Kama una watu uingereza waulize wanalipa shule bei gani...Na mtu anachukua miaka kumi kama nyie kumaliza huku...Wewe inaonekana ni mmoja wao ambao umeishi miaka mingi bila maendeleo yoyote huku, kazi t shirt na jeans nyingi...Mnaita kulipuka wenyewe...
ReplyDeletehama kweli kambarage siyo mchezo. Lakini si unajua US ukienda kurudi bongo huwa ni tabu mzee kwa hiyo howard amewabeep wanaotegemea/tamani kwenda kuwa mambo siyo lelemama. Ni kupigana mwanangu.
ReplyDeletesASA WEWE HOWARD INA MAANA WATU UINGEREZA HAWALIPI MAJI, RENT, UMEME NA GAS...WEWE MAMBO YAMESHAKUSHINDA HUKO...Hurudi kwenu tuu.
ReplyDelete