Home
Unlabelled
twiga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Europe compain ya stop smoking, inaendelea vizuri sana, watu wanapunguza kuvuta na cancer zinapungua.
ReplyDeleteSasa cancer zote zinapelekwa huko na nyie mnaona eti ndio fashion kuvuta sigara siku hizi. Stupid!
naona kweli matangazo ya sigara yanazidi kila siku, hivi kwa nini serikali haiweki sheria kupunguza uvutaji sigara? kwa nini tunasubiri mpaka hili tatizo liwe kubwa kutushinda ndio tuanze kulivalia njuga. angalie nchi kama marekani serikali na wananchi wanavyopata tabu uvutaji wa sigara.
ReplyDeleteWewe Ulaya gani watu wameacha kuvuta sigara, huko watu hasa vijana wanavuta sigara utafikiri vichaa, labda kama hazina madhara kama zina madhara basi Ulaya baada ya miaka ishirini vijana wqengi watakuwa na cancer hata dada zetu wa kiafrika nao eti wananyonya mche kama vichaa vile, huku Bongo wachache sana wanavuta na wengi wanaacha.
ReplyDeletewe anony wa juu, jaribu kwenda Irland, England, Scandinavia na baadhi, zile sehemu zamani ulikuwa unaweza kuvuta, sasa hivi zote ni NON SMOKING, kama vile pubs, restaurant, public places, hospital, n.k.
ReplyDeleteNa inaonyesha katika statistic yetu ya EU kuwa wavutaji pia wamepungua, na cancer zinazosababishwa na sigara pia zimepumgua hii 2005/06.
Sijui kuhusu Tanzania statistic yake, lakini inavyoonyesha kuwa kushika packet ya sigara ndio fashion, na mwisho wake si kuivuta.
Sasa wewe unaosema ni utumbo wa planet gani? Au unachukulia yanayosemwa vibarazani na kwenye vyombo vya habari mbuzi?