twin tawa inavoonekana kwa huku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. yu dis tower r hevy i think i should vist dem when i come next yer kool ppl michuzi keep up safe

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi,
    Tunashukuru kwa picha. Lakini tunaomba tafadhali utuwekee picha kubwa zaidi ili tuweze kuziona vizuri.
    Ahsante.

    ReplyDelete
  3. these twin towers were discovered by MICHUZI !!

    ReplyDelete
  4. Nice Architecture,keep it up,here we go men.

    ReplyDelete
  5. ee bwana eeh. wa mwanzo aliyetoka maoni yake on 19th, august of 2006 at 7.23 pm kaniacha hoi. doo!! yanini kuandika kwa kizungu kama hata spelling hazijui au ndo ubishow kuonyesha kwamba anakimanya manya kinyamwezi(kizungu cha kimarekani) ushamba tuu na ujinga na nimeona wanablog wengi wanafagilia kuandika hivi na kuona ndo style kumbe ujinga.
    baba yeeeee andika kwa lunga yako hata ikiwa haieleweki kuliko kujiabisha hapa kwenye blog ya michu kwa kinyawezi chako mcharwa mcharwaaaaaaaaaaaaaaaa.
    sometimes ubishow wakijinga jinga ndo unaowa lostisha wengi tuu wasiojiujua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...