kila ijumaa kuna ngoma nyumba ya sanaa ambapo vikundi mbalimbali hutumbuiza chini ya klabu ya sanaa ambayo mie ndo mwenyekiti. tunatarajia kuhamia njenje plaza (zamani ambasada plaza ama gogo hotel) na kuendelea na hayo siku hiyo ya ijumaa chini ya kampuni yetu mpya ya kapitoletaz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi where is your nanihii wako?
    We haven't finnish yet!

    ReplyDelete
  2. Michuzi achana na wajinga tengeneza life yako,ujue watu wanaona donge unapiga hatua badala ya kurudi nyuma kama wao,private life yako unaijua mwenyewe bwana na si mtu mwingine.

    ReplyDelete
  3. brother hongera sana kwa uamuzi juo,huyo jamaa hapo juu hakujui ulivyo mwanachi mwema,lakini mh!!
    ngoma kweli unafata hiyo??????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...