Home
Unlabelled
yatima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
OOh Michuzi, how can i start opening something like this in Bongo? Na michango ya kuchangia hiki kituo inatolewa wapi?
ReplyDeleteMueshimiwa Sumaye,popote ulipo nasikia unasoma OXFORD,kama kuna chochote kitu ulichobakiza, tuwasaidie hawa watoto,thank u in adavance,Mungu akubariki kwa kuitikia wito.
ReplyDeleteAkina baba ,mama,kaka,dada watanzania kwa ujumla kabla ya kutenda ngono zembe na mengineyo ya hovyo tufikiri je wanetu watatunzwa na nani?Tuwe makini jamani dunia/maisha tambara bovu...Michuzi weka anwnani ya hapa mahali ili wanablog tusaidie kila mtu kwa uwezo wake pamoja na kwamba tuna majukmu mengine mazito!
ReplyDeleteWABONGO ACHENI KUPONDA RAHA TU NA HAWA NI NDUGU ZETU. KWA WALE TULIYO UGAIBUNI TUJALIBU KUTUMA WALAU 10 USD KWA MWEZI, TUNAPATA CHECK NZURI SANA KILA WEEK LAKINI TUNAENDEKEZA MATANUZI. KAMA MIMI NI MFANO MMOJA WAPO NINA BIMA NALIPIA USD 450 KWA MWEZI LAKINI NASHINDWA KUTUMA WALAU UDS 10 TU! JAMANI WA UGAIBUNI TUANZE KUWA MFANO TUUNGANE TUSAIDIE KWETU HAYA MATANUZI YETU HUKU TUNAKUFURU JAMENI, TUPUNGUZE KUTANUA TUSAIDIE NYUBANI TUTAPATA FARAJA MBELE YA MWENYEZI MUNGU.
ReplyDeleteMsami naona umepunguza kufuka siku hizi na kuponda Bongo na kuweka majigambo. Hongera kaka umenifurahisha kwa hilo.
ReplyDeleteIla kwa ushauri wangu ingekuwa vyema zaidi kama ukiacha kuitaja Bimma kila siku. Kila post unayoweka hata ikiwa ya maana utatafuta njia ya kumtnion Bimma na kutaja thamani yake, etc.
Kumbuka Mungu ni mtoaji, kumbuka wahenga walisema Kuchakarika ni wajibu wa binaadamu lakini mafanikio ni baraka za Mungu.
it is not always those who try the hardest that achieve the most. So if you have been blessed and have been rewarded the fruits of your work, be humble and grateful. And keep working harder. Haya majigambo ya BM this, BM that yatakuja kukutokea pwani (God forbid) - sikuombei mabaya, infact i wish you like all other Tanzanians struggling to make ends meet wherever you are on this earth the best of luck. Uwe home, uwe ughaibuni, fanya kazi kwa bidii kwa faida yako na familia na nchi yako. Ipo siku Mungu atakuona.
Peace out... na natumaini utafuata ushauri wangu kaka.
Msami, big up for you brother,hii inaonyesha namna gani jinsi hii blogu inavyoweza kutusaidia na inavyoweza kumbadilisha mtu. kwa jinsi nilivyosoma mawazo yako ya kwanza ktk picha iliyokuwa inaonyesha madimbwi na picha hii na ile nyingine ya Kalimangonga (if its him) umebadilika na hapa unaonyesha uzalendo wako, na uwezo wako mzuri wa kufikiri. tunaona idea zako hapa ambazo zinaweza kusaidia taifa letu na zinaweza kuifanya tanzania much better place to leave. hope all of us tutakuwa tunajifunza mambo kupitia blogu hii, na watu wasione aibu kubadirika pale ambapo kweli walikosea.
ReplyDeletenaomba tu nijikosoe kidogo sehemu ambayo nimeandika tanzania much better place to leave, the right word is live insteady of leave
ReplyDeleteNAKUBALIANA NA MSAMI KWA KUCHANGIA WATOTO, LAKINI KAMA SERIKALI ITATUTAMBULISHA WATOTO WOTE WALIO CHINI YA MIAKA 18, NA UWEZO WAO KWA WAZAZI WAO, AMBAO WANA WAZAZI AU HAWANA, WALIO NDANI AU NJE, TUNATAKA ORODHA YAO.
ReplyDeleteNA PIA UTARATIBU WA KUORODHESHA NEWBORN BABIES WOTE WANAOZALIWA HOSPITALINI, MANYUMBANI AU POPOTE PALE AS LONG AS IS A TANZANIA CHILD! HALAFU WATUINVOLVE MAJUKUMU.
NA BAADA YA HAPO KAMA ITAWEZEKANA KUTUINVOLVE KWENYE BUDGET YA MTOTO WA TANZANIA ILI KUHAKIKISHA KILA SENTI MOJA YA "MTOTO" INAENDA SAWA KWA KILA MTOTO "MTOTO".
NAPIA KAMA ITATOA SHERIA YA KUVUNJA "PRIVATE PRIMARY SCHOOL", SABABU WATOTO WOTE LAZIMA WAPATE ELIMU SAWA YA MSINGI, BILA KUJALI UWEZO WA MZAZI....NADHANI NIMEELEWEKA.
NA PIA WALIMU WOTE WENYE ELIMU ZA UALIMU WANAKIMBILIA KUFANYA KAZI PRIVATE KULIKO SERIKALINI, KWA SABABU YA MAPATO, SASA WALE WALIMU WOTE WA SHULE ZA SERIKALI ZA PRIMARY HUWA HAWANA UJUZI WOWOTE ULE HATA LUGHA YA KIINGEREZA INAWABABAISHA, SASA ATAMFUNDISHA VIPI TAIFA LA KESHO?
PRIVATE SCHOOL ZIRUHUSIWE SECONDARY SCHOOLS NA KUENDELEA.
KAMA ZAMANI, KILA MKOA MMOJA UNA INTERNATIONAL SCHOOL MOJA TU KWA FOREIGNERS KIDS.
anony wa mwisho juu yangu...
ReplyDeleteunachosema kuhusu shule binafsi kina ukweli na nina nzuri. Lakini tatizo ni kwamba serikali yenyewe ilishindwa kutosheleza mahitaji ya elimu ndio maana baadae wakaruhusu kurudi kwa shule binafsi wakati walishazitaifisha wakati wa ujamaa.
Ni suala gumu hili maana kwa upande mmoja shule hizi zina madhara uliyoyataja, kwa upande mwingine inasaidia kwa kiasi fulani kupunguza tatizo la elimu.
Badala ya kuzuia shule za binafsi za msingi ningependekeza baadhi ya mambo machache kama vile
1. serikali kudhibiti kiwango cha juu ambacho shule inaruhusiwa kutoza kama ada na michango ya maendeleo
2. kujaribu kuwawekea waalimu wa shule za serikali mazingira bora ya kufundisha
3. Kutoa motisha kwa waalimu wanaokwenda mikoani kufundisha kama vile marupu rupu ya juu zaidi ya waalimu wa mijini, n.k.
Maana huko vijijini ndio tatizo lilipo hasa. Sababu ukija kama dar, kuwepo kwa shule za binafsi sio kikwazo kwa mtoto wa mlalahoi kusoma maana shule za uma zipo pia.. hata kama sio za kutosha ukilinganisha na kiwango cha kimataifa; lakini angalau watoto wanaweza kuingia darsani aghalabu kwa kujibana watano watano ktk madawati.