Home
Unlabelled
African leader details AIDS crisis - News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Thanks Michuzi Tunateketea sana jamani ngona bila soksi ni hatari sana ndugu zangu tuelimike kidogo ndugu zangu tuwe kama wazungu unavaa mpira kabla ya kula uroda na ikiwezekana akina dada bebeni mipira kadhaa katika mapochi yenu na katabia ka kupenda ngono bila kuuliza kama akina kaka wana mipira tayari msikubali kuwavulia chupi? majitu mengi yana ngoma hayajari kukuambukiza!
ReplyDeleteMichuzi HILI SWALA NI NYETI KUONGELEA. MANA WATU BADO HAWASIKII KAMA HAUPO NA MWANAMKE WA MAANA NA AMBAYE UNA UHAKIKA HATIWI TIWI, HOVYO, HAPO SWAFI UNAWEZA TU KUFANYA MAPENZI BILA KONDOMU. LAKINI BWANA KAMA HUNA UHAKIKA NA MWANAMKE HUYO UNAONA TU NI MZURI SANA LAKINI SIFA ULIZIA KUTOKA KWA FAMILIA NA MARAFIKI UPATE UKWELI MAADAMU BADO UNATAKA KULA BASI TUMIA KINGA YA KONDOMU MJIKINGE. MAANA KUNA FAMILIA YA MABINTI WAZURI KAMA WALE KINA SINARE LAKINI SIFA ZAO SI NZURI HATA CHEMBE HATA WENYEWE KWA WENYEWE KATI YA FAMILIA ZAO WANASEMANA. HUU NI MFANO KWA KUWA NAWANYAKA BINAFSI LAKINI KUNA FAMILIA NYINGINE PIA ZINA SIFA HIZI SI HAWA TU. BASI PAMOJA NA UZURI WAO KICHWANI HAMNA KITU SANA NA CHA MUHIMU KWAO NI WANAUME WENYE PESA. KWA HIYO KINA KAKA JIANGALIENI. SIO MNAINGIA PEKUPEKU SAWA? DUNIA HII MBAYA SANA SASA, USIGHILIBUKE NA UNACHOONA MACHONI TU WAKATI UNDANI HUUFAHAMU, NGOMA INAONDOA KAKA NA DADA ZETU KILA SIKU. ASANTENI.
ReplyDeleteSielewi ugomvi wako na wakina Sinare lakini napenda kukutahadharisha kuwa ni rahisi zaidi kwa akina dada kuambukizwa kutokana na Jinsia yao kuliko akina kaka. Kwa hiyo Kaka zetu nanyi pia fungeni zipu zenu maana suala hili haliko kwa akina dada tu. Nafanya kazi katika field hiyo najua ninachokiongelea.
ReplyDelete