barabara nyingi dar ziko hivi kutokana na ukarabati wa bomba za maji taka ambazo zinawekwa mpya. hii ni barabara ya jamhuri striti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi nini tena unapoandika barabara ya Jamuhuri striti..Striti na barabara????

    ReplyDelete
  2. Mgeni kwenye blog hii au king'ang'anizi?....Hii ndio signature yake.....He knows what he is doing....

    ReplyDelete
  3. hapa hakuna cha ukarabati wala nini bali pesa zetu walipa kodi zinaliwa, kwa sababu bomba zinazotolewa chini na zinazowekwa zote zina ukubwa sawa (old wine in a new bottle)kikwete fukuza mkandarasi na aliyempa tenda na wale wote waliohusika, mimi nilitegemea kwamba huu ukarabati ungehusisha na kuweka bombwa kubwa zaidi ili kusiwe na haja ya kuharibu barabara hapo baadae eeeh mola inusuru Tanzania

    ReplyDelete
  4. hii inakera sana.wanabomoabomoa barabara hivyo halafu hawarudishii...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...