mambo ya bwagamoyo. da mija upoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hivi kiwanda chetu cha baiskeli za Swala kiliishia wapi mbona, siku hizi hazipo tena mitaani?

    ReplyDelete
  2. Huu mji wa Bagamoyo ni kama hifadhi ya Taifa nini? Naona miaka yote hii hakuna hata barabara ya lami?!!
    Good picture Michuzi

    ReplyDelete
  3. Huuu mama ni mjinga sana. Sasa akianguka au kugongwa si na mtoto naye atadhurika vibaya sana? Yeye hapo nadhani anaona ni sifa na maendeleo. Pumbaaff!

    ReplyDelete
  4. Eti akianguka!Watu wengine bwana.Yaani aache kufanya safari zake kisa kuhofia kuanguka.Ikitokea hivyo itakuwa ni ajali.Ushaona wazungu huko wanafungafunga mikanda basi na wewe ushadhani ndio maishaaaaaaaaa..nyoooo..huku kibongobongo tu babu..inayeya.

    ReplyDelete
  5. Wewe hapo juu wacha ujinga. Pambaaaf! Unajua watu wangpi Bongo wanakufa kila mwezi kwa uigongwa na magari? Huoni anavyofanya huyo mama ni hatari kwa mtoto? Eti "kibongokibongo" ndiyo maana watu wanakufa kama kuku wa kizungu na urefu wa maisha ni miaka 50!

    ReplyDelete
  6. Nyie wacheni micheche kwani hamjui ajali haina kinga??ndio wanaita "accident" hakuna anayeitaka...

    ReplyDelete
  7. akiwa mwafrika anaonekana mjinga, akiwa mzungu wote wataiga, hivi hamjui bahadhi ya nchi za ulaya haya ni mambo ya kawaida? au hamjaizunguka sana. wanasema tembea uone.

    Kubeba watoto wakati unaendesha bike ni common bahadhi ya miji ya ulaya wanangu. mpo hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...