leo nimetoka bagamoyo kuja taun kumpokea f mtimkubwa tungaraza ambaye karejea bongo toka ufini kwa muda. bahati mbaya ni kwamba mie naondoka kwenda lindi kikazi. hivyo muda wa kumpa kampani umekuwa finyu, zaidi ya kumpa laga hapa layan hotel sinza. anabwia huyooo, acha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mzeee Michuzi! Endelea na kazi.Mzeee Fideee! Heshima zenu wote!

    ReplyDelete
  2. Michuzi una maana gani unaposema hapo juu ....."...zaidi ya kumpa laga hapa.."

    ReplyDelete
  3. Karibu Mzeee Tungaraza, karibu saana bongo mabloga kibao tuko hapa mwananchi ukipata nafasi mzee karibu eee. Braza Michuzi tunashukuru kwa kutuwakilisha kumpokea huyu mtu muhimu sana kwetu huraaaaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  4. Sasa wewe Michuzi haujui watu wa Scandinavia kwa kuubwia ndio wenyewe! Hawachezi mbali na Tuborg na Carlsberg yao....ni kwa sababu wote wana high salary hata jobless, tena kama wamekuregister serikali wewe ni mbwiaji, bingo! Una kroner zako nyingine extra kila mwezi, kwa hiyo everybody can afford, na ni culture yao pia. Sasa usiubwie mchezo na masnow yote hayo!
    Usifanye Mchezo Michuzi weee si umejaribu mwenyewe?

    ReplyDelete
  5. I knew it.. kweli michuzi si mchezo and told mtimkubwa the guy will snap you somehow tuu.
    Aliko

    ReplyDelete
  6. By the way its all good
    Aliko

    ReplyDelete
  7. Mkulu F Tungaraza, Hausindile? Iwana walamka? baho taha iwana walamka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...