Home
Unlabelled
furaha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UTAIFA ULIFIFIA KWAKO TU, WABONGO WOTE TUNALIFAGILIA TAIFA LETU SIKU ZOTE.IDUMU TANZANIA NA WATANZANIA.
ReplyDeleteSasa huyu wazili wetu alikuwa anashangilia bao kama mwenzake raisi Kikwete ama alikuwa anamshangilia Kikwete? Naona kama akili na mawazo yake yote ameyaelekeza kwa Kikwete!
ReplyDeleteUnafiki ndio ulio mbaya pengine hata interest ya mpira hana basi kwa vile mkuu kashangilia basi nami nashangilia. Hta wazo la muafaka wa Yanga kupelekwa Ikulu ni ujinga ambao utaleta madhara kama ya CCM kufanyia kikao Ikulu, jamani IKULU ni sehemu takatifu Mwalimu kesha sema, sasa mnataka kugeuza kama jalala ama kijiwe, maskini, tunaenda wapi?
ReplyDelete