Home
Unlabelled
benchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wachezaji wengi siku hizi naona wamechoka choka siyo kama enzi zetu sisi, mnakumbuka akina Alfonce Modest, mimi, Nteze, Mwameja, Hussein Masha,Mmachinga,Lunyamila, Razack Kareca, Fumo,Mwakuluzo,Makelele zig zag,Ephlaim Kayeta,nonda shaban papii,Costantine Kimanda, Nemes,Mwakuruzo, Kitwana selemani,Issa Athuman Mgaya, Marehemu Method and gagalihno,Akina Ngurungu Idrisa tulikuwa tunasukuma gozi siyo hawa watoto ebu angalia utafikiri hawajala siku 5 maskini. jamani wahindi rudini kusaidia kama mlivyo fanya enzi zetu, naona waliyopo wanainginza fedha zote tumboni mwao. Na kusahau vijana wetu wanaotandaza kabumbu.kule Kenya wananijua Vizuri enzi zangu niliwachapa bao kali saanaa. Michuzi ebu nitafutie Picha zangu nijikumbushe ni siku nyingi sana nilivyo fanya mambo huko kenya...nikiwa na Coastal Union enzi zangu.
ReplyDeleteBenchi la Taifa Stars kutoka kushoto waliokaa kwenye benchi Juma Kaseja, Bakari Kingodeko, Ulimboka Mwakingwe, Nadir Haroub 'canavaro' na Haji Mbelwa. Waliokaa sakafuni ni Mussa Hassan 'Mgosi' na Haji Mbelwa.
ReplyDeletesorry kidogo, aliyekaa na Mussa Hassan 'mgosi' ni Nizar Khalfani.
ReplyDeleteKaseja umbo linakuathiri ndugu yangu wewe ni golikipa mzuri sana lakini utakaa benchi sana taifa stars kutokana na umbo lako lakini jitahidi usife moyo utapangwa tuu siku moja
ReplyDeleteNingekuwa mimi ndiye kocha ningemwita Mwameja akae golini nadhani ni kipa bora mpaka sasa.
ReplyDeletetaratibu kaka, Mwameja kashajichokea.
ReplyDeleteNaomba msidaidie waungwana huyu mbrazili list yake siamini. Utamwekaje cannavaro, Kaseja, na Mgosi benchi?? haingiii akilini kabisa.
Mgunda nakukumbuka Mkwakwani ,Victor Mkanwa yupo wapi?alikuwa kama Emilly Hesky !
ReplyDeleteHuu uzi wa Bongo naona umetengenezwa na adidas wapi unapatikana ?
ReplyDeleteWangempa mheshimiwa JK angalau moja maana naona yeye kavaa za wamachinga
Uzi bomba sana hakuna mtu mwenye "kaduka" atuuzie hata kwenye neti?
aliyeulizia habari za Victor Mkanwa jamani mbona naogopa kukupa taarifa zake?
ReplyDeleteJuma Mgunda, mchezaji mnene, ndio ulitesa enzi zako lakini hauna sababu ya kuwaponda wenzio vijana, ukirimu wa waarabu Tanga ndio ulisaidia pia kukupa huo mwili, ndio maana unawaomba warudi tena leo.
ReplyDeletenyie mlipokuwa timu ya taifa mlimshangaza kocha mmoja(wakigeni) baada ya kufungwa sijui na swaziland, au Lesotho, of all the countries!! mliporudi tu hotelini mkakimbilia swimming pool kwa raha zenu kama vile mmeshinda, acha hizo pumba bwana ushakuwa mtu mzima sasa wewe.
tunategemea maneno ya busara na ya maana zaidi kutoka kwako, au wengine kama wewe, na siyo ukubwa wa mwili na wafadhili wa kidosi, hao mbona wameshinda kuna mdosi gani unamjua wewe katoa hela zaidi ya wazawa tu, acha hizo braza!!!
Halafu we Mgunda usijilete hizo! Milikuwa mna mili mikubwa kwa sababu milikuwa mnacheza soka mkiwa wazee. Zamani mpaka umake Simba, Yanga au Costali basi kidogo umepunguza una aka 35. Bisha!!Sasa wakatihuo lazima umbo liwe limefumuka! Siku hizi watoto wa shule yani wadogo tu wanapiga Stars!! Subiri wafike miaka 35 uone watakuwa kama wewe enzi zako. Ushahuri! Tunakubali ulikuwa mchezaji mzuri sasa tumia busara zako kutoa mawazo ya maana kwa vijana Taifa linahitaji watu kama nyie!
ReplyDeleteHuyu Pemba si anaona huyo kijana mdogo kwanini asingemchukua kukuza vipaji kama kweli, inaonekana Dogo Yanga sana huyu na anapenda mpira kuliko kitu kingine chochote. Dogo kaza buti hata mastaa walianzia hapo ila juhudio muhimu na malrengo sawa dogo?
ReplyDelete