Home
Unlabelled
hutba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi post picha inayo onesha idadi ya watu wanaosikiliza hotuba ya Kikwete siyo hao mabwana walioketi tu nyuma yake inamaana ukumbi wote walikuwa hao tuuu na ninyi? anahutubia viti viyupu hapo mbele yake?
ReplyDeletetafuta miwani nyanoko
ReplyDeleteYes, this was a moment for Tanzanians to be PROUD of!
ReplyDeletewe chemponda uproud wa nini sasa hiyo speech ya UN unakuwa proud nayo kwa sababu gani mhh watanzania bwana kila kitu kwao ni fascinating, hakuna pre requirement kutoa hiyo speech hata kama raisi wako angekuwa njemba korokoroni nagetoa hiyo speech mjinga we
ReplyDeleteAjabu,Chemi anataka watanzania tuwe proud kwa raisi wetu kuwa "matonya".Kaenda kulalamikia ulimwengu tu bila kusema anadhani nini kifanyike..aonyeshe au aeleze msimamo wa nchi yake.Aseme mafanikio ya nchi yake kama wenzake wa Iran au Venezuela.Wenzake wameeleza wako wapi,wanakwenda wapi na kwanini wanataka kuwa left alone waendelee na mambo yao.Kama Venezuela wanaweza,sisi tunashindwa nini?
ReplyDeletehivi speech ya JK iliyotolewa copy huko chini ni full version ama? How come ni fupi sana inaonekana ilimtake 10,15mnts wakati marais wengine wanakaa masaa kwenye podium au ndio unervous wa kutoa speech ya kwanza UN
ReplyDeletehivi speech ya JK iliyotolewa copy huko chini ni full version ama? How come ni fupi sana inaonekana ilimtake 10,15mnts wakati marais wengine wanakaa masaa kwenye podium au ndio unervous wa kutoa speech ya kwanza UN
ReplyDeleteRaisi ana majukumu mengi ndugu zangu...kuwaona watanzania anataka,lakini muda ndio hauruhusu.Tumsamehe
ReplyDeleteMajukumu gani hayo zaidi?Acheni uhuni bwana.Raisi anatakiwa kuongea na watu wake..japo lisaa limoja tu yakhe!
ReplyDeleteHOTUBA YA JK HAINA LOLOTE JIPYA.HIVI SISI TUTAKUWA OMBAOMBA MPAKA LINI JAMANI?KWANINI NA SISI TUSIWE NA CHETU CHA KUJIVUNIA?TUTAFIKA LINI SAFARI YETU?
ReplyDeletetatizo wabongo hatujui kitu kinachoitwa presidential duties.hizi huwa zinaamuliwa na watu wengi sana mbali ya raisi.yapo mambo mengi sana yanayozingatiwa kabla raisi hajakubali au kukataa mualiko fulani.au kwa sababu mnadhani raisi wetu sio bush basi mnadhani ana muda wa kumuona kila mtu?
ReplyDeleteNadhani cha msingi hapa ni kuongelea kama raisi wetu ametoa hotuba nzuri au vinginevyo.Suala la kuwaona watanzania ni muhimu ila kama inawezekana.AU?Kama alivyosema mtanzania hapo juu,yapo mengi sana yanazingatiwa.Ila kiutanzania mzee nishai kutoonana na watanzania kwa japo dakika 90
ReplyDeleteHivi matusi yanatusaidia nini watanzania?Chemi pole sana sister.Usijali matusi,kaza moyo.
ReplyDeleteKwa kweli ni lazima hotuba ya Raisi wetu iwe ya kiombaomba kwa sababu mambo yake mengi ni ya kisiasa ambayo yanachinja uchumi na kutufanya kuwa ombaomba.
ReplyDeleteHawa wanaotukana wanamatatizo ya akili na mawazo finyi. Yawezekana ni mateja, mazezeta au tu mapepe. Unajua kila mtu anaaccess na net! Nashauri Tuchangia hoja kuwaelimishi hawa watukanaji
ReplyDeleteChemi usijali wanaokutukana hapa. Hao ni haters. Ila wewe dada kama uko single niambie nifunge safari nije uliko. Mimi niko mid-west(KS), na niko single, and I have been watching you(mhhhhhhh). So whatz'p!
ReplyDeleteKuhusu mheshimiwa kutoonana na WATZ huku unyamwezini hata mimi nasikitika kama limetokea hilo. Kusema hana muda napinga, kama ameweza kutembelea viwanja vya mpira na kuionana na marais wa makampuni ya mpira atakosaje muda wa kuonana na WATZ ambao wana mchango mkubwa sana kwake. Any way, WATZ lazioma tukumbuke kwamba HATUTAIKIWWI HATA MARA MOJA KUMDANGANYA RAIS NA KUMSHANGILIA KWA KILA JAMBO. Mfano, sasa hivi tunampandisha mori juu ya kandanda hivyo hiyo nayo ni PRIORITY?Mpira wa TZ hatoliingizia taifa pato kubwa kuliko KILIMO, Tuwe wakweli jamani, kuzidisha kusifu tuuuu, kutamuharibu mheshimiwa, mengine tuwe tunanyamaza.
ReplyDeleteMfano, hizo sifa kwamba kahutubia UN zinatakiwa kweli!ama ndio kusema mlikuwa hamuamini sasa mnaona kumbe kaweza, Mkapa alihutubia mara ngapi ngazi ya Kiamtaifa, JK-Nyerere alifanya hivyo mara ngapi! Hii inaonyesha kuwa WATZ hatumuamini rais wetu ndio maana tunakimbilia kusifia kila kifanya kitu, je ni mapya hayo?Someni hotuba ya Lipumb mtaona ni kwa vipi vichwa vinafanya kazi.
Shujaa MKwawa.
Kumbukeni wanandugu kuwa JK huyu si kama JK Nyerere. JK huyu nibinadamu wa kawaida anayetumia akili yake kupambanua mambo. JK Nyerere hakuwa binadamu wa kawaida, na alikuwa miongoni mwa wale wateule wachache wenye "inspiration". Tumpongeze JK Kikwete lakini tusitegemee miujiza, huyu hakuumbwa kufanya miujiza.
ReplyDeletesasa wewe hapo juu mbona unatuchanganya! kwani Nyerere alikuwa na miujiza gani zaidi ya kubeba ile fimbo? Hata Nyerere alikuwa ni mtu wa kawaida tu embu acha ushirikina!!!
ReplyDeleteRaisi hawezi kuonana na mtu asiyeweza ku add value kwenye ziara yake. Hawezi kutenga muda kuonana na watu atakaoishia kupiga nao picha tu ya ukumbusho waende wakitamba kuwa msituone hivi tumepiga picha na raisi wakati wakisafisha vyoo,na kubeba mizigo kwenye nyumba,maduka na magodown ya wamalekani wachovu kimaisha!!!!Kuna watu ukipiga na picha marekani ukiwa raisi watamshusha hadhi kipicha badala ya kumpandisha kutokana na wanachofanya marekani!!! Wako watanzania kibao marekani ambao hata mimi siko tayari kuwaona wala kupiga nao picha!!
ReplyDelete