ona sasa...nshapotea njia sijui ntafikaje homu. ah, newala bwana!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Hahahaha! Na kweli uko Newala.

    ReplyDelete
  2. Nice one, mate.

    ReplyDelete
  3. Michuzi waambie wenyeji wako wa hapo Newala wakupeleke club moja maarufu inaitwa SCORES yaani utapata mamboz safi kabisa.

    ReplyDelete
  4. Geeque, wewe huna adabu hata kidogo, unataka mjomba michuzi aache rehani kamera yake pale scores!!!!! hahahaha

    ReplyDelete
  5. njomba michuzi kumbe we wa kwetu?aaaaaaaah!wachalimie newala tuludie na chamaki nchanga!

    ReplyDelete
  6. huyo maza hapo nyuma ya michuzi anafanya nini? :D

    ReplyDelete
  7. MICHUZI,
    IMEKUWAJE UMETOA PICHA ZA CYNTHIA?

    ReplyDelete
  8. Michuzi naomba namba yako ya simu landline ili nikipata muda nikupigie hapo viwanja.

    ReplyDelete
  9. assalam aleykum bwana michuzi,

    nashukuru sana kwa message yako. nakutakia mafanikio katika safari yako ughaibuni.

    usisahau kuniletea FUBU na SEAN JOHN jeans na kofia.

    mimi mdogo wako wa magomeni.

    ReplyDelete
  10. yess kaka kumbuka kupita hapo klabu moja inaitwa wakamba eee ina mademu kibwenaaa nenda baba ni hapo mtaa wa wa kumi na ngapi sijui

    ReplyDelete
  11. Michuzi hilo koti la Mchikichini umefika nalo kwa mama! Si mchezo jamaa wanatuokoa kinoma..

    ReplyDelete
  12. ushauri wa bure Michuzi wakati upo hapo newala jaribu kidogo kubadilisha kivazi ili uweze ku blend in kidogo, kwa usawa huo, unaonekana chamaki nchanga huyooo, wamachinga wa hapo ninavyowajua hawakawii kukuotea, wakaondoka ni Nikon, wallet, nini, si unaelewa tena, haya kaka kila la heri.

    ReplyDelete
  13. wellcome to New York c u saturday

    ReplyDelete
  14. Michuzi hajatoa picha ya cnythia.Imeenda tu kwenye archives za september.Kila baada ya post kadhaa au muda kadhaa nadhani baadhi ya picha zinaenda kwenye archives automatically.

    ReplyDelete
  15. hahahahahahaha wewe Geeque hufai yaani unamshauri Michuzi aende Scores hahahaha unataka amalize hata hela zake za kununua zawadi akirudi bongo.

    ReplyDelete
  16. Sawa Michuzi kumbe na wewe ni mmoja wao, mnashirikiana na kina JK kutumbua tu nchi yetu, mlikwenda Real Madrid kuchukua jezi ya bosi wenu, mkapitia CUBA kuzugazuga tu, lakini safari yenyewe ilikuwa ni kufika Newala(U.S.A) kupumzika na kula maisha.

    ReplyDelete
  17. Karibu Kijijini!!

    Angalia email yako kwenye gmail kuna ujumbe wangu.. halafu nipatie jibu basi!

    ReplyDelete
  18. Yes,
    Michuzi kaingia mjini Newala nadhani utatupa za hapo Bilcana - Serengeti club. Eeeh bwana wee kweli kachukue hata suit za 42nd.

    Ebbie Janson

    ReplyDelete
  19. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...