Home
Unlabelled
klinton
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ahsante michuzi,
ReplyDeletekwa kutupatia snepu za jikoni kabisa. Ni swali, je JK huwa anaangalia hii blog?? au anatuma vijana wake waangalie?? Manake malumbano kuna wakati yanakuwa makali sana, wakati mwingine kuna "pointi", wakati mwingine pumba na matusi!!!
Vijana wake ndio akina Michuzi. Wewe unafikiri JK hajui kama watu wameshamshtukia kama ni bomu. anajua kila kitu. Ndio maana Lowassa jana Arusha kamtee bosi kwa nguvu zote kwa tripu za Real Madrid, Cuba na Newala zinalipa!
ReplyDeleteHii snep kaka Michuzi nimeikubali.Vilevile Clinton alikuwa Rais bwana hakuwa mbabaishaji ka.Kichaka alivyo.Kuhusu Jk nahisi presidaa huwa anatembelea sana hii blog either yeye binafsi au anawatuma wapambe wake.
ReplyDeleteBasi kama JK anaietembelea hii site, naomba tuwe tunachangia mawazo mazito yanayoweza kusaidia kujenga nchi-inawezekana JK akayapata moja kwa moja. Hata wale hatujawa na bahati ya kuonana naye uso kwa uso (kama wale wabongo wa Boston na sehemu nyinginezo) wanaweza kuchangia mawazo kwa njia hii.
ReplyDeletekweli mmeonge cha maana, maaana kama kikwete anasoma hii site, au wapambe wake basi inabidi tuandike vitu vya maana, na sio kutukana. maaan inabidi kikwete ajue kuna watanzania ambao wanapenda nchi yao na sio hao wapambe wake ambao wanajipenda wenyewe na kula hela za wananchi bila huruma. maana itakua ni vizuri ayaone malalamiko khs nchi yake ambayo yanatoka midomoni ya wananchi wenye uchungu, maaana mi naona kama hapati malalamiko ya wabongo toka kwa hao watumishi yake
ReplyDeleteyea huwa napenda kutembelea sana hii site nasikitika sana mnampaka mrembo cyncia nyie watu hamna uchungu kabisa na nchi yetu
ReplyDeleteBalozi Daraja, kwanini uliweka choo za John nje? Kwa nini watanzania wasitumie choo ya ndani. Hi ni aibu and all the past ambasadors have never operated like you. Vile vile, kwa nini ulikodisha watu wa kupika chakula? Chakula kilikua kibaya sana. Nadhani walikupatia pesa za matumizi pembeni. Kuna watanzania wenye catering service - use them next time vile vile usisubutu kuweka zile choo tena. Sio desturi wala sio mila ya watanzania - Nyumba ya ubalozi vernon ni ya Tanzania sio ya kwako binafsi.
ReplyDelete