jk akichangia kwenye kongamano la klinton newala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wajameni.. yaani mwenzenu hii picha nimeipenda sana!

    ReplyDelete
  2. umependa nini kwani wewe mwanamke?? Tujiulize au Michuzi atueleze hapa JK alitumia lugha gani kwenye huu mkutano?

    ReplyDelete
  3. ndio mimi mwanamke,alitumia kiingereza-kitanzania

    ReplyDelete
  4. President wetu hapo anaonekana anatema cheche.Hapo ni lugha tu ya wakoloni inayotumika.

    ReplyDelete
  5. jamani mbona pres. wetu hapo ameketi pozi la kikekike? maana picha zake nyingi zipo na hilo pozi, hilo pozi bwana ukiwa home, au na watu wa karibu ndo unaketi hivyo, lkn ukiwa kazini unakaa kidumedume, au nimekosea?

    ReplyDelete
  6. wewe hapo juuu kidumedume kukoje hebu tuma picha yako utuonyeshe maana mnapondea vitu ya ajabu sana loo

    Picha nzuri sana awe ametumia lugha ya kitanzania au kijapani vyote sawa wapo marais lugha wanayotumia sio kingereza ije JK na namsifu maana najua lugha ya wageni anaijua.

    ReplyDelete
  7. ILa kiukweli hio staili aliokaa ni hatari hasa kama umekalia stuli anaweza akaanguka pwa tena kwa kupigiza kichogo,matako juu,mtume!halafu kama mmnenoti JK anaonekana ni muoga wa watu,pozi linaonekana haja relax.

    ReplyDelete
  8. Nyie mlie tuu, JK kikombo anakiweza sana,na akitumia Kiswahili watu wakitafsiri si ni vizuri anaikuza lugha yetu adhimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...