Home
Unlabelled
mahiga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi naomba suirudie ulichofanya mapema tunza heshima yako mzee
ReplyDeleteAmefanya nini tena jamani?
ReplyDeleteminadhani jamaa anamaanisha ya kuwa Michuzi mwenyewe ni maarufu, inakuwaje anapiga picha na watu ambao siyo maarufu? michuzi anajulikana sana hata na watoto wadogo, eti bandugu kweli jamaa aliyepiga na michuzi mtakaa mumjue? usijiangushe Michuzi, watu wantafuta kupiga picha na wewe na siyo wewe kutafuta umaarufu ambao unao tayari. Michuzi wa wa wa wa wa!!
ReplyDeleteTena chunga sana wewe Michuzi. Unataka kumsaidia muuaji hivihivi watu tunakuona. Kama umelewa umaarafu Mwenyezi Mungu akusamehe, lakini usifikiri Wabongo ni wajinga. Tumezoea kudanganywa lakini si wajinga. Mashaalah!!
ReplyDeleteHuyu balozi anatusaidia nini Michuzi.Uwakilishi wake huko UN una maana yoyote kwa nchi yetu zaidi ya siasa?Anachangia hata hoja huyu au ndio wale wanaoenda kulala tu
ReplyDeleteHuyo Balozi ndiye ambaye kuna baadhi ya waungwana walihoji kwa nini asipewe u director wa intelligence au ni Mahiga mwingine? sasa kama ndiye si tayari kazi anayo au?
ReplyDeletekwa waru ambao wahakuona shukhuruni mungu Michuzi alianzisha tena matusi asubuhi hii kwa kuweka picha za watu wasizotaka kuziona u know who
ReplyDeleteKwa manufaa ya mtoa maoni wa Sept 20, 6:44pm na wengineo: UN ni chombo cha dipolomasia chenye nyanja tano kuu; Peace and security, Economic & Social Development, Human Rights, Humanitarian Affairs na International Law. Balozi Mahiga na timu yake (of course wakiendeleza yaliyoanzwa na timu nyingene zilizotangulia), Tanzania ni moja ya wajumbe wa Security Council (and hence "Peace and security"),Dr. Wangwe yupo ECOSOC ( there is your "Economic & Social Development" function), Mama Prof. Tibaijuka ana head UNHabitat (there is your "Humanitarian Affairs") na Jaji James Kateka yupo ITLOS~International Tribunal for the Law of the Sea (and hence International Law wing), of coures this is to name a few. Wana blog, napenda kusawazisha.
ReplyDeleteunayejiita cunt masasi hater sasa unaanza kuboa. acha hizo bwana.
ReplyDeleteAnony wa 20sep. 2006, 6.44PM umezungumza suala zuri sana. waungwana walilalamika hila cha kuongeza mimi ninachojua hawakujua kitu kimoja kuwa director wa CIA, FBI inawezakana akapata wakati mugumu kuongoza security system ya developing countries in general. Our systems inatakiwa watu wanaoijua na siyo kwa sababu una internatinal collfcation pia unaweza kuiendesha vizuri.
ReplyDeleteHila huyu mzee CV babu kubwa sana.
Kuna ugumu fulani ambao nauita primitive behaviour katika most of the developing countries.It takes some times kuweza kuupata.
Hahaaahaaa! Hewala Michuzi feki. Naona nafasi niliyokuwa nayo ishakuwa redundant. Haya, kuanzia sasa nitabakia kujiita "Anony mbaya".
ReplyDeletewe gay ambaye ni hater wa cynthia,tuko tunafwatilia cv yako,bila shaka utakua kihiyo,maaana kwa kweli unamatatizo!Muuaji unamjua wewe???sheet happens!kwa hiyo kama yamekukuta utajiju.
ReplyDeleteThnk we just had enough of u bustard!au unataka nawewe tukunotorious?
Unatafuta kupandwa nini? Kafirwe kule, kibushuti wahedi wewe!!
ReplyDeleteNi nani muuaji?
ReplyDeleteMuuaji ni kaka yake huyo kahaba. Kwenye tovuti lake kaweka wazi kwamba anamtetea kaka yake na lolote lije. Ina maana hata kama angefahamu mahali anapojificha MOHAMMED MBEWA MUSTAFA basi asingethubutu kuwasiliana na polisi. Kwa hiyo kumpa sapoti YOYOTE ILE huyo malaya ni sawa na kumsaidia muuaji aendelee kujificha kutoka mkono wa sheria, kwani huyu kahaba amesema yupo tayari kumtetea kakaye MUUAJI kwa hali na mali.
ReplyDelete