Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mambo ya pool side hayo, demu bomba(wakati huo).
ReplyDeleteVazi lake poa sana kwani nilikuwepoe kwenye hilo onyesho nalikumbuka sana walivypendeza
ReplyDeleteNadhani Mrs. Kambona ndo alikuwa the Last Miss Tanzania kabla haijawa banned.
ReplyDeleteLakini huyo dada Theresa Shayo alipendeza sana, na ndo shepu za ma Miss za enzi hizo. Siku hizi wanatasehpu ya skeleton. Wembamba mno.
Mwone huyo alishinda Miss Universe juzi juzi. Baada ya kushinda kaanguka na kuzimia shauri ya njaa.
mbona hamkuweka mwaka kumbukumbu ni muhimu
ReplyDeleteTo Anonymous...hii Picha ilipigwa mwaka 1967 nimeangalia kwenye background nimeuona mwaka angalia vizuri kwenye kundi la watu na nyuma ya miss Tanzania kwenye bega lake la kushoto.
ReplyDeleteKama nitakuwa nimekosea then Michuzi itabidi uwe una weka na miaka maana kama ni 1967 hiyo ni miaka 39 iliyopita!
halafu hana mkorogo!
ReplyDeletewala manywele artificial
ReplyDeleteKumamake huyu, wajanja wa wakati huo akina KK washam-bokoa sana, "mbere na nyuma" kumamake sasa hivi lazima awe kachokaaaaaa, kumamae, mboo mchezo!
ReplyDeleteLazima utukane sasa? Michuzi c'mon now, watu kama hawa hawafai kwenye blog yako; comments zenye matusi namna hii zinakera.....sensor bwana...tumechoka sasa...
ReplyDeletesasa we pambafu unamtukana huyo mama wa mwaka 67!!!?? pengine uzao wa mama yako, kama unaye? kweli mwanaharamu hata ukimtia kwenye chupa atanyoosha kidole kwamba bado nipo!! nyama kabisa, son of a thousand fathers and all of them bastards like you!!
ReplyDeleteKabla ya yote Ndugu uliyerundika matusi hapo juu na mwenzako aliyekusahiisha kwa kuongeza matusi mengine mawili matatu mmekosea,si vema kutumia lugha chafu katika vyombo ambavyo jamii nzima(watoto,vijana wa sasa na wa zamani)ina visoma
ReplyDeleteNikirudii kwenye mada,huyu dada(Kwa sasa ni mama) kweli anaonyesha warembo walikuwepo tangu enzi hizo.Lakini ni jambo ambalo halishangazi kwani warembo tulionao sasa ni uzawa wa hao hao(WAHENGA:Mtoto wa nyoka ni ......)
Pia nilitaka kuongezea kuwa ingawa wazee wetu wamekuwa wakipinga sana vimini,vilianza kuvaliwa na mama zetu tangu enzi hizo,kwa mtu ambaye ameziona pichanying za zamani atakubaliana na mimi kwa hilo
KK Dex
Heeee!kumbe vichupi vilianza zamaniii...
ReplyDeletewwoow!ina raha yake kutizama..