nikiwa mzigoni umoja wa mataifa hapa newala leo, muda mfupi kabla ya kuanza kipindi cha mchana ambapo jk alihutubia kwa mara ya kwanza kama raisi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sasa Michuzi unalekebisha kamera upige VITI VITUPU huyu bwana alikuwa anahutubia Umoja wa Mataifa ama Umoja wa Waandishi wa HABARI alio toka nao BONGO tupe PICHA TUONE IDADI YA WATU WALIOKUWEPO WAKATI ANAHUTUBIA isiwe anachoma MAFUTA ya NDEGE kuja kuwahutubia nyie wapiga picha tu. MBONA wenzake walionekana na watu wa kutosha wanasikilizwa?

    ReplyDelete
  2. duh michuzi nilikuwa naanza kupata wasiwasi kwamba wewe unashangaa majengo tu njee mabarabarani maana kila siku picha zako zilikuwa za mitaani nikajua mzee hauruhusiwi labda kuingia ndani ya UN nadhani unaanza kuzoe sasa majengo marefu unaingia ndani sasa hizi atleast ndio tunachotaka kuona maana majengo tumeyazoea

    ReplyDelete
  3. Kumalija..Kineh mamy!! Ni kufahamishana tu, hapa ni kwamba waandishi wa habari wanaingia ukumbini mapema zaidi ile waweze kuziandaa/kuseti kamera zao na kujipanga vizuri. Then Marais na wageni wengine wanaingia moja kwa moja wanakaa kwenye nafasi zao na shughuli inaanza. Hapa Michuzi nadhani alipata upendeleo wa kuingia mapema kwa sababu ilikuwa ni zamu ya rais wa nchi yake ndiye aliyekuwa ampangiwa muda ule ahutubie.

    ReplyDelete
  4. Covert kwakujifanya unajua kila kitu hujambo.lEO NAKUSAMEHE ILA SIKUACHI HIVIHIVI FALA WEWE

    ReplyDelete
  5. Hiyo ndio kazi tuliyokutuma ufanye.Sio kupiga picha maduka na majumba na watu wasio na mpango na sisi

    ReplyDelete
  6. mijitu roho mbaya humu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...