Home
Unlabelled
newala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteUmekaa wiki tu Newala na tayari unaanza kuwa na ile American shine. Au ndo hiyo wine Beaujolais! Picha safi sana, kumbukumbu safi ya safari. Endelea na kazi nzuri.
Eboo! Wacha kuzingua watu na wewe. Hiyo "American shine" ndiyo kitu gani? Au unataka kudai Marekani ni sawa na ahera? Dammit!!
ReplyDeleteJOHNSON TUPE SIRI ZA MAFANIKIO...UNAKUMBUKA ULIANZIA MBALI TOKA SHAABAN ROBERT NA ILE BRIEFCASE YAKO hahahahah
ReplyDeleteDu michuzi kumbe na wewe unakata safari? Itabidi nikutafute sikumoja.
ReplyDeleteJohnson Lukaza ni mfano mzuri wa watu waliosoma lakini waliamua kujiajiri.Angalieni mafanikio aliyoyapata sasa hivi.Ingekuwa vipi kama baada y akupata degree yake pale Uingereza anegrudi na kuanza kuatafuta kazi? Angekuwa may be ana cheo kikubwa pale Standard Charteerd may be Meneja Utawala lakini mshahara ndio hivyo.Lakini aliamua kujiajiri na sasa angalia mafanikio aliyoyapata.
ReplyDeleteNarudia tena: Wabongo jengeni utamaduni wa kujiajiri na sio kuajiriwa.Rudi bongo hata fungua pizza shop kuliko kwenda kuajiriwa na kupewa title kubwa lakini hela ndogo.
mturutumbi.
Toa hongera zinapokuwa due, kwani kuna ubishi kwamba ukikaa nje unakuwa na ngozi tofauti ni kwa sababu ya weather na upungufu wa vumbi so michuzi chukua hiyo kweli shining tunaiona,Na jamaa yangu kanikumbusha long time Johnson na kibrief case chake Shaaban Robert usiangalia wala kusikiliza ya wabongo just b u and do what u doin ma bro
ReplyDeletehuyo johnson Lukaza ni nani amefanya au anafanya nini-hebu mwanablog tupatie habari ya huyu jamaa kwa ufupi-anafanya biashara gani, anaishi wapi n.k.
ReplyDeletewatu wa namna hii-kama kweli amefanikiwa sana kulingana na mablogger walivyosema hapo juu- ni vyema kuwajua sababu unapata motisha ya kutoishia karibu katika malengo mbali mabali ya kimaisha
Mafanikio ya Johnson Lukaza hayana maelezo,ndio maana inakuwa ngumu kuelezwa anafanya nini,anaishi wapi,ni jambo gani linalofanya aitwe mwenye mafanikio nk.Walio na data watueleze jamani ili kama alivyosema mshikaji hapo juu wengine nao watiwe moyo na mwendo au njia aliyopitia.
ReplyDeleteEti amejiajiri????? huyo si mwizi mkubwa, waliwaibia investors hapa, JK anawatafuta, nataraji kwa sasa ameshakamatwa maana yuko kwene anga za JK huko Newala..
ReplyDeletekijana Johnson ana makampuni kadhaa pale Daresalama mfano no Kampuni ya Kernell ambayo inahusika na usalama wa kuzima moto kama Magari ya zima moto, vifaa kama fire extinguishers, nguo, viatu na other tools za wazimaji moto, vifaa vya maofisini na majumbani kujilinda na moto, fire alarms na vitu vingi tu vinavyohusika na mambo ya mioto you name it.
ReplyDeletePia ana kampuni inaitwa Proin ambayo ni ya Real Estate, ambayo kwa bongo ni next to Knight Frank, na hawa KF wasipoangalia atawabeat ingawa wao ni International.
Jamaa ktk Bank accounts zake ktk mabenki tofauti bongo, ana more than 15 Billion deposits, hapo ukishaondoa mikopo na overdrafts. Na hizo hela zote ni justifiable, sio za wafadhili walanini, hizo mnazosema ni za wafadhili labda anakaa nazo nyumbani kwake.
Kama kuna la zaidi unaweza ukaniuliza.Simpambi wala nini, anastahili hongera, kupata zero pale Shaaban Robert hakukumfanya alemae, na'mean?
Ndugu zangu, mulimumwagia sifa mtu wenu mumeona sasa kumbe utajiri ulikuwa wa kupitia mdandio wa BOT/EPA. Nawasilisha
ReplyDeletehaya we oohhh kafanikiwa anahela kumbe BOT/EPA
ReplyDeleteNa kama alizungusha pale Shaaban Robert, hiyo Degree aliipata vipi au ni cheti cha mtaa wa Kongo?????
ReplyDeleteHata aina ya maisha yake, si ya mtu aliyeelimika hivyo.
Kitendawili cha jinsi alivyopata hela kimejibiwa!! Pole Lukaza, ndio ukubwa sasa hata dhamana inakuwa ngumu...nasikia ulisafirisha kuleta nchini magari mawili ya kifahari kwa ndege!!! Duuu, kama ni nivyo hiyo hela ya EPA ilikuwa tamu
ReplyDelete